Recent content by Kahama_Tanzania

  1. Kahama_Tanzania

    Uchaguzi mkuu 2020: Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Benard Membe (CCM), hapatatosha !

    Kwani Lissu wa kaskazini? Mbowe kakubali? Au unataka mwenzio aambiwe "nitakushughulikia"
  2. Kahama_Tanzania

    Pengo la Ruge Laanza Kuonekana Clouds TV: Clouds 360, Yafanya Michezo ya Hatari!. Yarusha Live Kitu Hatari, Jamaa Anatafuna Chupa, Viwembe Live!.

    Huyo jamaa hapo anatafuta riziki kwa ujanja ujanja wake wa kutafuna viwembe na chupa, kesho akifulia akija kwako utamsaidia? au ndio utafungua thread humu oooh omba omba wamezidi na blah blah nyingiiii
  3. Kahama_Tanzania

    GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Unafikiri hayo mataifa makubwa wanakupenda sana wewe "black people" kuliko raia wake? unadhani watakuja tu bila return yoyote? waafrika wamalize matatizo yao wenyewe.
  4. Kahama_Tanzania

    GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Majizi Chadema huu ndio muda wa kutangatanga
  5. Kahama_Tanzania

    Baada ya kukosa mchumba natafuta mwanaume wa kuzaa nae tu

    Demu una matusi hivyo hata mdude hakuoi.
  6. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Sawa Afisa mdude.
  7. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Sawa Afisa Mdude.
  8. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Majizi nyinyi
  9. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Kwamba huto tu piki piki ndio sera mpya? mkawadanganye wajinga awamu hii mtazomewa majimbo mengi sana. Hamtakiwi bongo hii namkubali sana Magu kawanyoosha hakuna makelele wala mikusanyiko mlio zoea, nawewe jitokeze kama Mdude uone moto wake ngiri pori wewe
  10. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Kijana huku sio wajinga wajinga kama huko kwenu, huku nyumbu hamtakiwi kabisa kabisa
  11. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Hahahah hizi ndio sera zenu, yani hamtakiwi ni marufuku kuleta makanyagio huku
  12. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Sisi tunapiga kote kote yani kwenye ufugaji, kilimo na maofisini sasa tumeingia na tupo mikoa yote
  13. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Wote ni wale wale ila virus chadema ndio hafai zaidi.
  14. Kahama_Tanzania

    CHADEMA twazidi kujiimarisha

    Na ndio tunajazana sasa sekta zote na tunasambaa nchi nzima
Back
Top Bottom