Kwa swali lako naona watu wanatoa details lakini wanalizunguka kikawaida honors hutolewa kwa mtu ambae GPA yake inakuwa ikipanda kuanzia 4.0 bila kushuka isipokuwa wakat mwingine chuo kikipandishwa hadhi wanafunzi wanaograduate katika miaka hiyo wanapewa lkn kuanzia kiwango fulani kwa kesi yako...
Huu ni upuuzi wala haina maana kuchangia
Kwanza ni group halafu huyo hakuna mtu makin atakayepanga mkakati huo kwenye group ukizingatia na privacy ya group ilivyo naungana na mtu aliyechangia kuwa huyo anaejiita mataka anatafuta sifa tu
Nilitegemea pingine hata akanushe
Narudia huu ni upuuzi na...
Assistantship ambayo unakuwa unapewa malipo kwa kumsaidia prof kwenye research zake kimsingi ziko za aona mbili TA-Teaching Assistantship,RA-Research Assistantship
Dear friends I would like someone who knows about assistantship procedures application in the us or else and how it can help you pay your tuition fee &accomodation
Nafikiri tunatakiwa kujadili tatizo na siyo individual kulingana na hoja yako. La sivyo kesho tutasema fulani ikitoka tena fulani lakin tukijadili tatizo la wabunge kutokuwa na mfano mzuri kwa jamii itasaidia kutokurudiarudia mada kama ambavyo umesema kuwa baadhi ya wabunge walishajadiliwa...
Kwa kitendo cha sugu kuandika hayo binafsi sioni tatizo sana hasa ukichukulia content ya ujumbe wenyewe, tabia ya kutotendea haki cheo cha ubunge ni wabunge wengi wanyeshida ambao hawafai kuwa role model kwa vijana mfano utoaji lugha za matusi,kauli zenye upeo mdogo n.k kumuandika sugu peke yake...
Wakat mwingine huwa nashangaa cjui ni cdm au nin hasa unapoonyesha kuhitilafiana kifikra
Na cdhani kama ndio harakat tunazozitaka au tunatafuta dikiteta mwingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.