Wakubwa, naomba msaada wenu wa mawazo. Mimi ni mwajiriwa lakini ktk kipato change kila mwezi naweza kubakiwa na laki mbili, je kwa amount hiyo naweza kuifanyia nini in terms of investing it?
Asanteni wanajukwaa
Ndugu zangu, sijaona mahala pa kuuliza nikapata msaada kama katika jukwaa hili la wanajamii, watu walioelimika na walio na mapenzi ya kuwasaidia wenzao. Sasa jamani ndugu zangu nahisi sitoweza kuendesha gari jijini Dar na hata mikoa mingine. Jirani yangu kanunua gari automatic amekuwa akinipa...
Wakuu nawapa heshima zenu. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa gari aina ya I.S.T. Wanaoweza kutoa elimu wanisaidie hasa katika areas kama ulaji wese, upatikanaji wa spare, miaka ya kudumu kwake
Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama...
Wakuu nawapa heshima zenu. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa gari aina ya I.S.T. Wanaoweza kutoa elimu wanisaidie hasa katika areas kama ulaji wese, upatikanaji wa spare, miaka ya kudumu kwake
Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama...
Nimeamini kuwa Jamiiforum ni kisima cha maarifa. Nawashukuru sana mnaoendelea kuchangia ila naiomba kusema kidogo khs hiyo bajeti ya 200,000 kwanza ni bajeti ya kila mwezi, pili kumbukeni ninafanya kazi siku tano kwenda kazini napumzika jpili tu. Tatu ninaishi Kivule (wasiojua iko pande za...
Habari wanajamii. Naomba msaada wenu wakuu kuhusu aina ya gari la kununua kwa mtu ambaye bajeti ya mafuta kwa mwezi ni Sh 200,000. naishi Kivule ambapo barabara ni ya mashimo na nafanya Posta mpya. Kuna kaniambia eti nichukue Escudo. Naomba ushauri wataalamu wa magari hasa kuhusu hizo point ya...
Swali linahusu ulaji wa mafuta kwa magari.Nimewahi kumsikia mtu anasema kila gari lenye CC chini ya 1500 hilo halili mafuta, so kwa watu wa chini watafute magari kama hayo akawa anataja magari kama Suzuki Jimny Wide, Pajero Mini, Starlet nk. Mimi nauliza kwa wajuzi humu ndani, je ni sahihi hayo...
Ndugu wana jamvi adhimu la Jamii Forums nawasalimu. Ama baada ya kuwasalimu mwenzenu nina pendekezo moja. Linahusu wazo la memba wote humu kuchangia kiasi Fulani cha pesa tukawapa moderators wetu na kisha kuzipeleka katika mradi wowote wa elimu. Hii itakuwa sehemu ya sisi wanajamvi kuchangia...
Wakubwa nawasalimu
Baada ya salamu naomba kuwauliza natamani kuanzisha biashara ya kuosha magari na pikipiki hapa jijini Dar es Salaam. kwa wazoefu wa biashara je aina hii ya biashara inaweza kulipa na kama ndio nifanye nini nifanikiwe?
Asanteni sana
Habari zenu wanaJF
Naomba taarifa mahala ninapoweza kupata vifaa vya car wash kwa maana ya mashine na vifaa vingine. lengo langu ni kuanzisha car wash mitaa fulani hapa Dar
Asanteni
Mnyika alikuwa ashindwe kwa vigezo kadhaa ila tatizo wakubwa wameogopa gharama. Ila hongera zake, sasa alijenge jimbo la Ubungo aache maneno mengi, wana ubungo tunataka maendeleo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.