Wakuu nawapa heshima zenu. Naomba kuuliza uzuri na ubaya wa gari aina ya I.S.T. Wanaoweza kutoa elimu wanisaidie hasa katika areas kama ulaji wese, upatikanaji wa spare, miaka ya kudumu kwake
Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama kilmet14 yenye mashimo kila siku kwa siku sita za wiki
Asanteni wakubwa
Muhimu kuzingatia: Gari hilo ni mtumba la mwaka 2004 na litakuwa likitumia barabar ya kilomita kama kilmet14 yenye mashimo kila siku kwa siku sita za wiki
Asanteni wakubwa