Huduma ya kuuza na kuservice fire extinguisher inapatika Kagison co ltd.
Tunapatikana mbezi tanki bovu kwa komba dar es salaam
Mawasiliano
0712569530/0763072847
Email
kagisoncompanyltd@gmail.com
Kagison co ltd has introduced new Safety boot in market made from pure leather
Place your order through the following no
+255712569530/+255763072847
Email
kagisoncompanyltd@gmail.com
Pale bp tanki bovu karibu wahudumu wote hawafai isipokuwa kabinti kamoja tu, MTU unakuja na gari alafu wahudumu wanakuangalia tu bila kukuita au kukuelekeza.
Na ukifika kwenye pump unaambiwa nenda kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Achane hizo story
Hata kama ni chakula kuwa makini pia unaweza poteza hela.
Wateja wengi hutaka chakula rahisi na kizuri usipopiga hesabu vizuri utafunga. Pia soko ni dogo hasa maofisini watu huja na vyakula kutoka home au upiga pasi ndefu.
Sehemu nyingi za chipsi zimefungwa.
Tunafanya ukaguzi na matengenezo ya vifaa vya kuzima moto kwa bei nafuu kuanzia 5,000 hadi 10,000 kwa aina na uzito mbali mbali wa kizimia moto.
Tupo Mbezi tanki bovu kwa komba
Simu no 0712569530
Sent using Jamii Forums mobile app
We are specialised on variety of fire extinguisher check & service starting from 5,000 to 10,000.
Your welcome
Located at Mbezi tanki bovu kwa komba
0712569530
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi everybody
The committed bussiness partner is needed to join hands with Tanzania local company.
The company has full registration and permanent office specialised on OHS Consultancy, Supply of safety gears and supply and installation of fire systems.
For interested organisation or person...
Alibaba haina shida itakusaidia kumeet na manufacturer au supplier.
Cha msingi tumia kampuni zenye ofisi tanzania na china wenye huduma za kutuma pesa na kusafirisha mizigo, wao watalipa pesa kwa niaba yako baada ya kupokea mzigo na pesa zako zitakua salama.
Check na Javis international
Pia JPM au waziri wa ardhi toa tamko la kusitisha maendelezo yoyote ya ardhi ambayo hayana kibali cha manispaa pia iende sambamba na kuunda taasisi ya kusimamia uendelezaji wa miji na upimaji kama ilivyo CDA.
Tunatamani tuone hayo yakitokea lkn yanahitaji msukumo wa viongozi wa juu.
Wenyeviti na watendaji wa mitaa kutoza 10% ili kunumua ardhi hasa zisizopimwa wakati hawana mamlaka hayo.
JPM piga marufuku na ndo huongeza migogoro ya ardhi isiyo ya lazima.
Zanzibar ni nchi tena inahaki sawa na tanganyika. Kwahiyo usiangalie idadi ya watu angalia nchi mbili zimeungana.
Unataka kulitenga jicho ktk mwili kwasababu linanafasi ndogo ktk mwili bila kuangalia umuhimu wake.
Think big
Pia hii kodi ukifanya utafiti tra wanaipata kiasi kidogo kwa kujiondoa kuikusanya wao wenyewe ambapo hupelekea mikataba inayopelekwa tra kuwa tofauti na halisia ili kukwepa hiyo kodi. Ss kwa uvivu wao wa kuikusanya inapelekea kuleta usumbufu na pia kukusanya kiasi kidogo cha kodi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.