Una mawazp mazuri saana kuliko anayelalamika tu bila soln
Right woote walochangia wangekuja na constructive ideas
Ingesaidia
Sema wengi ni omba omba wa akili wanaamini kuna mtu atawaza badala yao
*UKUTA HOJA YA MSINGI ILA.JE ITAFANIKIWA*
NA ASAPH S KAGINA
leo tarehe 26/7/2016
chadema imetangaza.oparation iitwayo UKUTA
kwa maazimio ya kukataa kinachoitwa udikiteta wa raisi aliyeko madarakani kwa hoja za
1Ukandamizaji wa vyama vya siasa
2:Kutumia spika kulibana bunge
3matumizi mabaya...
Kama umesoma sayansi usijibizane na walioshindwa kusoma four figure form two halafu wanataka muwe sawa
Haiwezekani
Na usiwashangae mishipa ikiwatoka kutetea usawa wasio ustahilibkws sababu ndo elimu yao wao wsmwsoma Sana'a tuu
Na haitabadilika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.