Vyo vifuatavyo vimekuwa vikipokea wanafunzi wengi wa diploma zaidi ya nusu ya wadahiliwa wote huwa ni diploma.
DIT
MUST
ATC
WDMI
Hivi vyuo hutoa dilegree za engineering na watu wengi wataalamu wa nchi hii wamepita hapa. Sasa kwa kihoja cha mwaka huu hawajatoa mkopo kwa wanafunzi hawa walio jiunga vyuo pamoja na kudahiliwa kwa kozi za kipaumbele.
Mpaka sasa hali ni mbaya wanafunzi zaidi ya nusu waliodahiliwa hawajaripoti na wale walioripoti wamelipa direct cost za vyuo tu bado wanadaiwa tution fee hivyo nao wanaweza kusitisha masomo muda wowote baada ya jana Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo kusema hawatatoa mikopo kwa wanafunzi wa diploma.
Vyuo hivi ndio chimbuko kubwa la wataalamu sasa wanafunzi wanatelekezwa, je hii ndio nchi ya viwanda inayoandaliwa.
Cha kusikitisha zaidi wanafunzi wa diploma walitegemea ajira mpaka sasa hakuna na wanajiunga vyuo vikuu mikopo hakuna, sasa waende wapi?