Recent content by Kadwanguruzi

  1. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Iko hivi, ukiambiwa 18km/l maana yake gari inapokuwa mpya na kila kitu bado kizima kwa almost 100% Usisahau gari tunanunua used Japan au German, UK, na kadhalika. Life span ya engine inavopungua ndivo na performance itapungua. Don't expect gari ilotembea mileage km 100,000 ikupe fuel...
  2. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Wakuu Dola ikifika 2,000 nistueni niagize Passo yangu chapu kwa haraka

    Itafika tukishampata rais kama wa awamu ilopita.
  3. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Unavyonunua gari fikiria na uwezekano wa kupata mteja kama ukiamua kuliuza

    Hizo ambazo haziuziki mngelizitaja haswa Toyota brand, mgetisha sana. Ukizingatia kwa takwimu bongo tunatumia sana Toyota.
  4. Kadwanguruzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeweza kuzishinda hisia, nipeni maua yangu

    Wazuri walio wengi wanatumika vbaya mnoo. Si ajabu alotangulia kula siku hyo hakumfikisha so alkuw bado ana ny*ge,
  5. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti ni uwekezaji mzuri?

    Umeuliza swali na pia umejijibu sasa sielew tukujibu nn tena maana jibu unalo tayar. Anyway, under normal circumstances, leaving other factors constant, miti haiwezi kukutupa kama umeihudumia vizuri, japo it's a long term investment. Kwa ushauri, kwa upande wa mikaratusi, tafuta mbegu ya GU7...
  6. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukejeliwa na ndugu jamaa na marafiki baada ya kununua ardhi maporini?

    Land appreciates day by day. Pesa yako ukiiweka kwenye ardhi, ni uhakika hutojutia.
  7. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Nimekuja na mrejesho wa Samsung A series

    W Alokuwa mtumiaji wa Infinix utamjua tu. Hii kitu unaeza kwenda kwa settings uka change, km unataka kuizima km infinix yako. Otherwise waweza izima kwa kuvuta notification panel pale pemben kulia utaona dot flan ya kuzima. Pia uskute umeuziwa fake coz nalo lawezekana. Best and reliable phone...
  8. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

    Haiwezekani, sisi wakatoliki mbona ni watu poa sana tu na wapenda aman. Ingekuwa vice versa ningesema ni kwel, lkn kwetu sisi hatunaga tabia za hivo. We value and respect each faith, unlike kwenu ninyi waislam. Hujipendelea sana na for sure mna ka tabia ka ubaguzi. Nmeshuhudia hii apa bongo...
  9. Kadwanguruzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walioa tu: Hakikisha kila siku unaipiga sana, inasaidia sana kuweka akili sawa

    Hapo sa ndo kinanywea kabsaa.. kinalala na kusinzia badala ya kupigana vita
  10. Kadwanguruzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naonaga mimi sio kama wanaume wengine

    Sjui niseme una tatizo... Maana it's unbelievable, kwa wanaume sisi hii ni nature yetu, sasa wewe kwel km unavosema utakuw sahihi, haujakamilika.
  11. Kadwanguruzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walioa tu: Hakikisha kila siku unaipiga sana, inasaidia sana kuweka akili sawa

    Kweli mkuu, na yanahitaji usafi haswa!!! Vinginevyo km si msafi vya kutosha, akifunua huko, utataman kukimbia
  12. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makanisa ya Katoliki huwa na maeneo makubwa ya ardhi?

    Wamisionari walpokuja walichkua ardhi kubwa kubwa na kuanzisha dini, ndo maana unaona parokia zinakuw na maeneo makubwa.
  13. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Gari ipi nzuri kati ya Toyota Wish au Alphard?

    Japo sijui ni Noah gan, lkn km ni ile Sr40 model ya zaman, basi achana na wish na Alphard. Iyo Noah ni bora kulingana na kazi zako. Alphard ni luxury van. Haitaki shida shida, infact sio gari ya kupiga kazi ni gari ya kula bata na familia.. soft sana. Which is very okay, lkn kwa matumizi yako...
  14. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Gharama za msingi nyumba ya kuanzia

    Shukrani sana mkuu, nmepata wazo kutoka kwa rafiki kwamba ni bora nijenge 2bedrooms kwamba tofauti ya gharama za single bedroom kwa double rooms ni ndogo. Hivyo itanibid nichkue raman nyingne mpya. Nashkuru kwa ushauri wa vipimo.. ngoja ni revise raman nione inakuwaje
  15. Kadwanguruzi

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna wanamuziki maarufu Wasukuma na Wahaya

    Lugha gongana umeimba wewe?
Back
Top Bottom