Recent content by Kadogoo

 1. K

  Tukio hili linaweza kuwa ushahidi kwamba tukifa tunarudi duniani kwa miili mingine??

  Mi nilifia mtwara 1987 nikiwa mmakonde! Sasa naishi China! Maajabu ya dunia! Naogopa kurudi kwetu mtwara eti niseme nilifia huko nikiwa mmakonde!
 2. K

  Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

  TTBS from Moshi-Arusha-Singida! Basi hili liliua watu kibao mpaka likaitwa Twende Tukafe Bila Sababu! TTBS! Pia nakumbuka Basila Katarimo!
 3. K

  Prof. Lipumba ajiuzulu Uenyekiti CUF

  Na vipi ikiwa CCM ikifa bara Kule Zenji itapona?
 4. K

  Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

  [B][I] Duh hii Kali! ni Kiongozi gani huyu aliyerukwa na akili mwaka 2014 bila kujulikana? kama yametokea haya basi hatari sana maana mtu anaongoza watu kumbe ni mwendawazimu?
 5. K

  Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

  Huyu Babu utamuambia nini ukimuona sasa hivi? ni hilo tu
 6. K

  Chikawe akanusha kuhusu watuhumiwa kulawitiwa

  Waziri keshakanusha Bungeni kuwa watuhumiwa hawakunajisiwa! sijui lini alifanya uchunguzi huo huku akitangaza tena kuwa watachunguzwa! mheshimiwa Waziri anajichanganya na kwa hakika anachojaribu kufanya ni kuwa huenda walionajisiwa wanatabia ya kupenda kunajisiwa na pia anatangaza rasmi kuwa...
 7. K

  Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

  Vipi na Mama etu Ana Makinda kakubali kuwa Mtumwa Mamboleo?
 8. K

  Ulaya wasikitishwa mchakato Katiba

  EU waanze na Marekani kwanza kabla ya TZ maana USA sio kunyonga tu bali wanaua wafungwa kwa sindano za sumu!
 9. K

  Muhidini Kimario afariki

  Mbona sijakuelewa mkuu!
 10. K

  Muhidini Kimario afariki

  Aliyekuwa waziri na mbunge wa moshi mjini 1975-1990 Muhidini Mfaume Kimario hatunae tena! tunamuombea pepo na kuwapa pole wafiwa. Kimario tutamkumbuka kwa kumaliza tatizo la maji moshi mjini miaka ya 80-90!
 11. K

  Kinana: Mnaojipitisha urais kabla ya wakati tusilaumiane

  Ni haki yake na katiba inamruhusu CCM wakitaka ushindi wa kishindo Kinana au Jaji Warioba tosha!
 12. K

  Naiona kasoro ya maandamano ya CHADEMA

  Kisheria UKAWA hawawezi kuitisha maandamano sababu sio chama cha Siasa kilichosajiliwa! na kwa mujibu wa sheria za Polisi vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya maandamamano kwa mkupuo kwa sababu za kiulinzi! hivyo inabidi maandamano yafanyike kwa kupokezana!
 13. K

  Sheikh Kundecha, afunga mjadala wa mahakama ya Kadhi, Aeleza kwa ufasaha mkubwa umuhimu wake

  Hoja nzito hizi! mi nafyonza tu hapa tarudi baadae!
 14. K

  Hii kauli ya UKAWA maana yake nini?

  Kumbe maswali yako yote uliyotaka yapate majibu lengo lako ni kumdhalilisha Profesa Lipumba? we unaonekana unachuki zako binafsi dhidi ya Lipumba! kwa kukusaidia kujibu maswali yako kwanza huna budi kumwomba radhi Profesa Lipumba halafu urudi tena ukumbini lakini safari hii ukiwa na adabu na...
 15. K

  Kingunge awa kinara kwenye Katiba

  mi namshauri apiganie uganga wa kienyeji uingizwe ktk Katiba!
Top