Muhidini Kimario afariki

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Aliyekuwa waziri na mbunge wa moshi mjini 1975-1990 Muhidini Mfaume Kimario hatunae tena! tunamuombea pepo na kuwapa pole wafiwa. Kimario tutamkumbuka kwa kumaliza tatizo la maji moshi mjini miaka ya 80-90!
 
Mkuu kweli umewahi kuleta hii habari! Hongera sana
 
Back
Top Bottom