Kili FM radio, mpasua msonabari, was my favourite radio at that time of my studies at lyamungo sec school, Halima Kassim was my favourite host, kiukweli hii radio ilileta mapinduzi ya kiburudani mkoani Kilimanjaro, but if the tittle of the thread is real, then the management has to take an...
Hivi ni Alfu au Elfu? Alafu ni sahihi kuandika alfu kisha 15,000/- ili isomeke na kueleweka kama Elfu kumi na tano (15,000/-) huyu ni miongoni mwa wale waandishi makanjanja tulionao hapa Tanzania, shame on you!
Siku hizi kila anapotokea mwanaharakati mwenye mrengo wa upinzani hususan chadema anàmbiwa anafanya aiasa chuoni ili kuua nguvu ya upinzani miongoni jamii ya wasomi vyuoni. Huo ni mtazamo hasi unaofanywa na viongozi wakuu wa chama tawala ili kujinufaisha kisiasa
Lowassa Ana mvuto mdogo sana ndani ya ccm na nivigumu sana lowassa kupata ridhaa ya kupeperusha bendera hiyo ya kijani kuelekea ikulu, miongoni mwa wafuasi wakubwa wa lowassa ni wananchi wa kipato cha chino tena easily na weledi juu ya siasa bora kwa maendeleo ya Tanzania,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.