Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 21,854
- 26,092
Ni ukweli mtupu as a man stands firmly! Eti jitu zima na ndevu zake! kunungunika ..Ameniibia mke kibaya unalialia ktk hadhara ni fedheha na kuaibisha wanaume wote dunianiAiseee..., midubwasha ya ccm inachekesa kweli, Yaani mtu mzima na akili zako timamu huku dushelele linasimama unasiamama mbele za kadamnasi eti unalalamika kuibiwa Mke..??!!!
What a joke...!!! We utakuwa shoga si bure ningekuwa mimi napiga kimya, Ni aibu kupindukia kwa mwanamume rijali kulalamika kuibiwa mwanamke.
Ni sawa na mwanamume kusimama mbele ya wakwe zako UCHI na lipododo lako huku dushee ikiwa imesimama..!!! aibu sana.
BACK TANGANYIKA