Recent content by kadeti

  1. kadeti

    JamiiForums Tanzania Amejificha au wamemficha?

    Kaka mfumo umeparalaise kabisa....ukiwasikiliza wazee wa vitengo wenyewe wanavyosema. Utatamani kulia machozi.....lkn tusikate tamaa ipo siku Mungu atatuonyesha njia km Musa alivyowaongoza Wana wa Israel kutoka ktk mikono ya Farao (misri).
  2. kadeti

    JamiiForums Tanzania Amejificha au wamemficha?

    Iyo picha ndo reflection ya Wananchi wengi sana hasa kule kijijini kwetu watu wamekosa tumaini...na kukata tamaa. Picha inajieleza utafikiri wanangojea kupewa UHURU.
  3. kadeti

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Kaka nia yako inaweza kuwa ni njema sana...lkn Kwa uyu jamaa utaitwa Chawa.... anyway unaweza kuwa umekuja apa kusikiliza upepo ni jinsi Gani watu wanamzungumzia ADB... naona Sasa umepata feedback nzuri, Kaka nikuambie tu hakuna mtu anaweza kucheza na upepo wa kisiasa kama Bashite...jamaa ni...
  4. kadeti

    JamiiForums Tanzania Amejificha au wamemficha?

    Sasa ngoja nikuambie ndugu yangu mshana...unaweza sema Kwa Sasa jamaa wameboresha mfumo...ni kweli kabisa ila wameboresha kuaribu kabisa mfumo...Kwa Sasa ndani ya mfumo ili upate kazi pale kitengoni Wala upiti kwenye lile chekecheo lao la kila siku. Ni kwamba jamaa wanaenda pale Lumumba na...
  5. kadeti

    JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Mmmmh unachekesha sana awo DAWASA unaowatolea mfano wamefeli kitambo sana....wameishia kusambaza tu mabomba lkn maji hakuna....na Kuna sehemu zingine huitaji wa maji ni mkubwa sana kulingana na harakati zilizopo apo lkn hata mabomba ya maji hakuna anyway iyo ndo Bongo land. Sasa swala la...
  6. kadeti

    JamiiForums Tanzania Angalia hujuma SGR, Umma umepiga kelele lakini bure. Nani yuko nyuma ya hiki? CARTEL, STATE CAPTURE RUNNING SGR

    Mbona ni mara kibao tu, hata Mimi nishajiuliza sana ..kwanini ukiingia online kukata una ambiwa "No seat Available" Lakini ukitumia mbinu mbadala chap unapata nafasi Tena nyingi sana ndani ya behewa...Sasa najiuliza hizi siti zilizowazi zitajaa njiani uko au....mwisho wa safari unaona siti ziko...
  7. kadeti

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Na wewe tumia hata akili ya Memkwa basi, unawezaje kufanya mabadiliko ya katiba angali kiongozi ambaye ni mwenyekiti wa chama yupo ndani, kwaiyo ndo kusema unajua sana vipaumbele vya CDM kuliko wajumbe wa kamati kuu...
  8. kadeti

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea

    Kwa ufupi ule mjengo wetu mweupe umegeuka kuwa pango la walanguzi.
  9. kadeti

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea

    Ni ngumu sana kuwakwepa wale jamaa wana mtandao mkubwa sana, hata km hutopatikana Leo kesho utaonekana tu
  10. kadeti

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huu ni ufisadi wa kutisha! Haujawahi kutokea katika kulihujumu Taifa, na unafanywa na viongozi wakuu wa Serikali!

    Tuna waitaji watu jamii ya Tesha kwenye jeshi letu zaidi ya soldier 100 tu ,Kisha mtaona mabadiliko makubwa lkn tukitegemea Kwa Sasa sauti ya vyama pinzani kutusemea na kupiga kelele....Kuna familiya inaenda kuwa na ukwasi wa ajabu zaidi ktk eneo la Afrika mashariki...tusipo wazibiti mapema...
  11. kadeti

    JamiiForums Tanzania SGR INAHUJUMIWA......

    Ni mambo mawili tu yanayotumaliza au kutufikisha apa tulipo...ni Umasikini na Ujinga. Hivyo vitu viwili vikiondoka au kupunguza Kwa kiasi fulani basi tumekomboka....Sasa mbaya zaidi hivi vitu viwili vinategemeana...Sasa unapaswa kuja uanze na kupambana na kipi kwanza umasikini, au ujinga. Sasa...
  12. kadeti

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Watu wakaribu na Maza wengi watadanchi siku si nyingi na kutengeneza uzuni mwingi sana kwake...."alisikika Nabii moja akisema"
  13. kadeti

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bi Fatma Karume Afariki dunia, akiwa na umri wa miaka 97

    Kifo ni kifo...wahenga walisema....
Back
Top Bottom