Recent content by kadebe rwekiti

  1. K

    Anatafuta kazi ya duka

    Tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Mabasi 70 ya mwendokasi yashikiliwa na TRA Bandarini kwa miezi 13

    Mbona Magufuli amenyamaza kimya licha ya malalamiko mengi yanayoelekezwa kwa udart? Hapa pana harufu ya upigaji mkubwa sana wa wakubwa, mana hata waziri alipapasa tatizo halafu kimyaaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Spika asiingilie uhuru wa habari

    Wachawi kazi yao ni kukandamiza watu, ole wake! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Ni mpambano mkali kati ya Jokate na Makonda

    Bashite alipata zero na likwidi faya anatenda kiziro ziro tu, wote walikuwa mhimu kwenye harambe ya kutokomeza zero. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Mh.Makonda umejikwaa kidogo kumshambulia Pierre!

    Huyo makonda ni mtu wa hovyo kupita huyo mlevi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Kilichokufanya ushindwe kujibu maswali ambayo umesomea kwenye field yako nini? Kwanini unakata misaada ambayo si ya fedha moja kwa moja?. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Msaada wa nauli: Nimeitwa kwenye usail Bodi ya Kahawa Tanzania(TCB), Moshi-Kilimanjaro

    Yapo matapeli mawili humu, moja linamsapoti ili kuwaingiza mkenge wana jf, kiufupi ukianalyse mjadala huu, ni dhahiri huyu kijana ni tapeli kwa asilimia mia. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

    Ninashamba ekari 50 Turiani Morogoro, ekari moja 200,000 tshs, interested? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Msaada: Nimetapeliwa kupitia mtandao!

    Potezea, uwezekano wa polisi wetu kukusaidia ni kidogo sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    We nditiye hayo ni mambo ya hovyo sana, hatuyataki we vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Kwa sababu ya yaliyonipata sioni hamu tena ya kumtumikia Mungu

    Humu jf kuna viumbe wengine siyo watu, angalia, utaingia mkenge. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    Naomba msaada kuhusu jini mahaba

    Kuna ka element kaudini kanaanza hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Nahitaji mpenzi na msaidizi

    Ni pm nikwambie jambo la muhimu na lazima. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Imeniingia kichwani Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    The ruling of Islamic religion against alshabaab terrorist attack in Nairobi

    Si unaona sasa, unathibitisha mwenyewe kuwa uislamu unafungamana na hawa jamaa. sasa nimeanza kuelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom