Ni mpambano mkali kati ya Jokate na Makonda

hiden

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
376
691
Wanabodi,

Watoto wa mjini tunasema Ngoma imepata wachezaji. Ni Kukuru kakara ni vuta ni kuvutee. Hapa Makonda huku Jokate.

Baada ya kufanikisha harambee ya tokomeza Ziro iliyoratibiwa na Mhe, Jokate aka Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, kumeibukaa mpambano mkali wa chini kwa Chini kati ya Mhe. Jokate na RC Makonda.

Mpambano huu umeibuka baada ya Makonda kumkosoa vibaya mzee wa Likwidi-Konki faya papaa Pierre kuwa ni mtu wa hovyoo.

Inaelezwa kwamba pamoja na kufanikisha harambee ile, Mhe Jokate alijikuta akilia kwa kitendo alichofanyiwa Mzee Pierree.
Kuonesha yeye ni Mwamba, Jokate alimkingia kifua katika akaunt yake ya instagram kumpongeza na kumtia nguvu mzee wa koki fayaa.

Inaelezwa kwamba, kutikana na kitendo cha Makonda kufanya vile, Mpaka sasa Jokate hajaweka picha ya Makonda kumshukuru kwa kushiriki hafla ile.

Watu wote mashuhuri, viongozi waliohudhuria, wameshukuriwa kwenye page yake akiwemo Mhe Jafo, Mhe Ndalichako, watu maarufu amewapost kwenye page yake ya Instagram, lkn Makonda hajawekwa mpaka sasa.

Za chinichini ni kwamba, Jokate anajuta kwann Makonda alimkaribisha eneo lile. Na sasa ameapa kufa kupona, patashika nguo kuchanika, ngumi jiwe hatapokea msaaada aliotoa Makonda kwenye ahadi yake.

Jokate utabaki kuwa juu, utabaki kileleniii
 
Hatari fayaaaa
IMG_20190401_084214.jpeg
IMG_20190401_084201.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Nini? Mbona Ni Mwepesi Tu Yule Kwa Makonda? Anacheza Na Makonda? Makonda Ni Gwiji Wa Siasa Za Fitna Yule Binti Hamuwezi. Labda Makonda Achukulie Poa
 
Wanabodi,
Watoto wa mjini tunasema Ngoma imepata wachezaji. Ni Kukuru kakara ni vuta ni kuvutee. Hapa Makonda huku Jokate.

Baada ya kufanikisha harambee ya tokomeza Ziro iliyoratibiwa na Mhe, Jokate aka Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, kumeibukaa mpambano mkali wa chini kwa Chini kati ya Mhe Jokate na Rc Makonda....

Mpambano huu umeibuka baada ya Makonda kumkosoa vibaya mzee wa Likwidi-Konki faya papaa Pierre kuwa ni mtu wa hovyoo.

Inaelezwa kwamba pamoja na kufanikisha harambee ile, Mhe Jokate alijikuta akilia kwa kitendo alichofanyiwa Mzee Pierree.
Kuonesha yeye ni Mwamba, Jokate alimkingia kifua katika akaunt yake ya instagram kumpongeza na kumtia nguvu mzee wa koki fayaa....

Inaelezwa kwamba, kutikana na kitendo cha Makonda kufanya vile, Mpaka sasa Jokate hajaweka picha ya Makonda kumshukuru kwa kushiriki hafla ile.

Watu wote mashuhuri, viongozi waliohudhuria, wameshukuriwa kwenye page yake akiwemo Mhe Jafo, Mhe Ndalichako, watu maarufu amewapost kwenye page yake ya Instagram, lkn Makonda hajawekwa mpaka sasa.

Za chinichini ni kwamba, Jokate anajuta kwann Makonda alimkaribisha eneo lile. Na sasa ameapa kufa kupona, patashika nguo kuchanika, ngumi jiwe hatapokea msaaada aliotoa Makonda kwenye ahadi yake.

Jokate utabaki kuwa juu, utabaki kileleniii

Sent using Jamii Forums mobile app
mmoja ni big house, mwingine small house.

hakuna ugomvi hapo - ni tamthilia!
 
Back
Top Bottom