Recent content by Kadabrah

  1. K

    Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    hivi wanawake wakorofi wanapatikana wapi natamani nimpate mmoja wakumtia vitasa maana huyu ma mtu hata nkimpiga kofi najisikia vibaya naona kama nmemuonea tu, nilidhani wakurya ni wakorofi kumbe wapi njoo nikiutie vitasa mpaka uenjoy ila sikuui sitakikesi
  2. K

    2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Niqqas knows kila kichwa na mantiki yake, hujiulizi ni kwanini pac na big walikuwepo wengi, sema sipendi kuwapambanisha hawa mabraza kila mmoja ana mchango wake, kivyake
  3. K

    Fahamu chanzo cha kondomu

    kaka una akili wewe... ;)
  4. K

    Je, Inawezekana Kuendelezwa Kielimu Jeshini?

    Bora nichome chips, na digrii yangu kuliko kwenda huko hela ipo sawa ila hautakuja ionea raha yake ng'oo
  5. K

    Kwa mwaka wa kwanza NIT

    Baba ako mwenyewe nimemshikisha ukuta sana ndo maana anapata hela ya kuwalisha, bado mama ako
  6. K

    Nokia XL zina ubora na uzuri kiasi gani ?

    Nisije kujuta jamani Nina mpango wa kununua hii simu Nokia XL ila sijajua ubora wake na uzuri wake kiujumla mi nimeipendea size yake na kimuonekano kiujumla naomba wazoefu mnieleze ubora wake especially display na muonekano wa videos, msaada please nisije kujutia baadae.
  7. K

    Kwa mwaka wa kwanza NIT

    Asee ntakutafuta arifu ngoja tukaripoti
  8. K

    Kwa mwaka wa kwanza NIT

    Ha ha ha mi pia Nit ila hatutowezana coz nakula lager na liquor za kila aina, ganja mara mojamoja nikiwa na stress, natupia ugoro km sitaki kunywa kwa mda huo, unga tu na sigara ndo situmii kwa hyo hatutawezana labda freddie boy
  9. K

    Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

    Nlikua na mpango wa kubadil kuchukua mechanical pale nafikiri pamoja na changamoto ila kitabu knaweza kwenda vizuri kwasababu naona mech ina uwanja mpana kuliko automobile au unanshauri vp
  10. K

    Naombeni ushauri, kozi ya Automobile Engineering

    Vp mechanical hapo iko vp je ni miaka mitatu pia kwa waliotoka form 6
  11. K

    Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

    Mi ndo nataka manigga wabish wa dizain hyo sio unapangiwa na litoto la mamaaaa, au mlokoleeee, au ustaziiiii NO THANK U bora npange gheto kitaa 2
  12. K

    N.I.T selection 2014/2015

    Yah thats one, gud bwooy
  13. K

    Nokia lumia 1320 kwa tanzania

    Ahsante mkuu pia naomba kujua kama zinasupport miamala kama ya mpesa and others pia shortcoming zake kwa mazingira ya kibongo
Back
Top Bottom