Nokia XL zina ubora na uzuri kiasi gani ?

Nokia XL zina ubora na uzuri kiasi gani ?

Kadabrah

Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
54
Reaction score
7
Nisije kujuta jamani Nina mpango wa kununua hii simu Nokia XL ila sijajua ubora wake na uzuri wake kiujumla mi nimeipendea size yake na kimuonekano kiujumla naomba wazoefu mnieleze ubora wake especially display na muonekano wa videos, msaada please nisije kujutia baadae.
 
kaka kama unataka simu ya design hio ni bora ununue nokia x2 ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo na pia bei yake ni rahisi japo kioo kitakuwa kidogo

nokia-x2.jpg
 
kaka kama unataka simu ya design hio ni bora ununue nokia x2 ambayo ni nzuri zaidi ya hiyo na pia bei yake ni rahisi japo kioo kitakuwa kidogo

nokia-x2.jpg
mkuu ni simu gani nzuri kwa bajeti ya 250,000 mpaka 300,000. maana hiyo naskia ni majanga sana kwenye chaji. ushauri wako muhimu sana na utazingatiwa Chief-Mkwawa
 
Last edited by a moderator:
mkuu ni simu gani nzuri kwa bajeti ya 250,000 mpaka 300,000. maana hiyo naskia ni majanga sana kwenye chaji. ushauri wako muhimu sana na utazingatiwa Chief-Mkwawa

kama unaangalia charge then avoid simu za line 2.

nani kakwambia haikai na charge? uwezo wake wa charge ni wa kawaida tu.

alternative ya hii ni moto-e zilizobakia zina ram ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom