Recent content by kacholicholi

  1. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Bei ya matank ya kuhifadhia maji lt 2000 au 3000

    Nenda pale Simtank kiwandani mbozi road utapata kwa bei ya chee
  2. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni

    Ni bora kumwabudu shetani unaweza kutubu na Mungu akakusamehe kuliko kuishabikia ccm hakika Mungu hawezi kukusamehe
  3. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Hasara ya Fiesta....Dada anauza vifuatavyo kwa bei ya hasara mpigie simu kama unahitaji....

    Ndo umeongea nn sasa,..kibali kilishatolewa ndo wakaanza maandalizi,..siku moja kabla ya tamasha eti kinafutwa
  4. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Clouds watangaza 29 watakaotumbuiza Fiesta, Nandy atoswa

    Ongeza young killer,Dully
  5. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Lini Umeme wa REA utafika ktk vijiji vya Kibamba na Sunguvuni wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani
  6. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum na ALIKIBA wamekutana na kumaliza tofauti zao za muda mrefu

    Pichaduka hiyo imetengenezwa
  7. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Mzee Nyerere alituachia ndege za Taifa 14, kuna kipindi zimeisha hapa kati

    Umeongea point tupu sina cha kuongeza
  8. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nenda mtaa wa Libya kituo cha basi barid kwa chini mtaa unaitwa Aggrey ile ya mnazi mmoja
  9. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Mtaa wa Pemba karibu na soko la kariakoo ukitokea Livingstone
  10. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kweny fridge hakuna kitu kinaitwa mtungi ila sema compressor, na gas kweny fridge huwa haiishi na ukiona imeisha jua ina leakage sehemu,.. Na pia fridge kutogandisha sio mpk iwe gas inawezekana ikawa tatizo lingine like compressor haitembei au relay au overload mbaya so ni vizuri muite fund...
  11. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Kwa kifupi gas huwa haiishi kweny kifaa chochote kinachotumia gasi I mean Ac,.car Ac, refrigerator nk otherwise iwe ina leak na ukiona imeisha jua ina leak somewhere so lazima uzibe leak ndo u refill
  12. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Kwanini friji langu limepungua uwezo wa kugandisha au kupoza haraka? Naombeni msaada

    Hakuna material ya kuziba evaporator ikitoba,..utakutana na fundi njaa atakuzibia kwa kutumia super glue na unga but hatadumu muda mrefu coz pressure ya gas ni kali sana so lazima ivuje tena but km inaweza kutoka ndani ya fridge unaweza kuichoma kwa kutumia aluminium stick na ikawa poa
  13. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wasomi mkaingia kwenye fani za kawaida kama vile uigizaji, kuchoma mahindi kubrashi viatu na kadhalika

    Baada ya kumaliza chuo nikaona mambo hayasomeki nikaamua kurudi tena chuo lakini mara hii VETA nikawa napiga evening class ya Air conditioning,..nikapiga pale miezi sita darasani baada ya hapo nikamtafuta mshikaji mmoja alikuwa anafanya kazi Samsung akaniunganisha pale nikawa nafanya vitendo...
  14. kacholicholi

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Hakuna mwana ccm atakayeiona pepo
Back
Top Bottom