Recent content by kacheto2015

  1. K

    Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

    Bei Inaanza Tshs ngapi na inaishia ngapi ili nijipange vizuri
  2. K

    CCM yakataa ombi la Lowassa kurejea chamani

    DUH !!!!!!!! ??????
  3. K

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Jibu ni 20 Kwa kuwa: Kiatu kimoja ni sawa na 5 Mtu mmoja ni sawa na 5 Filimbi moja ni sawa na 2 Kwa hiyo Viatu 2(5*2)+(mtu 1(5*1)*filimbi 1*2) =10+(5*2)= 20
  4. K

    INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

    Mashine za juisi bado zipi? Nahitaji moja
  5. K

    Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

    Dah sasa hela za nini wakati tunastarehe wote?
  6. K

    INAUZWA Mashine za kisasa za juisi ya miwa zishakuja; wahi zipo chache

    Nimeona namba zako wewe pia unauza blender. Niko mwasonga ukipita kibada mbele ya DSM Zoo waweza kuniletea blender moja huku?
  7. K

    Hatimaye amekubali nimtoe bikra ila masharti yake yananipa Kigugumizi

    Umemjuaje kama ni bikra na je ni Original? Mwambie akutibitishie mm nimeipenda maana Watu Wengi ni waharibifu sana
  8. K

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Hujataja umri wako ni muhimu sana
  9. K

    Juma Nkamia ampinga Rais Magufuli kuhusu miaka 7 ya Urais

    Katumwa alete hoja !!!!???. Ningemwuunga mkono angesema miaka 3 maana duh 7 ??????
  10. K

    Lowassa: Ujumbe wa Rais Magufuli ni kunitaka nirejee CCM, ila nilikataa

    Hizi ni statement za kuandika tu kama yeye kweli kwa nini asiitishe press conference Mara tu baada ya kwenda Ikulu au hata baadae. Yaliyoongewa kuleyatakuwa bado ni Siri Kumbuka huyu ni Waziri Mkuu Mstaafu hawezi ongea ongea hovyo hovyo hivyo
  11. K

    Mtanzania anayekubali maneno ya Trump yeye ndiyo Shithole

    Mimi Nadhani badala ya kulalamika tumetukanwa ilitakiwa tuchambue kila hoja kwa vielelezo tuseme kweli si kweli. Mimi binafsi kuna mambo mengine nakubaliana naye ingawa si yote. Mm namshukuru kwa kutuvua Nguo hadharani ili tujione tulivyo je Tuko sawa kabisa au tunamatatizo. Hata Raisi wetu...
  12. K

    So sad nimekuta mke wangu akigegedwa na house boy kwenye sofa nilizonunua mwenyewe

    Msamehe tu. Wewe ndo Mwenye makosa kwa kufanya house boy akaimu nafasi yako Kwani ulithamini sana biashara kuliko ndoa ulitakiwa "kubalance"
  13. K

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Furahia tu huko kutongozwa ni bahati yako. Maana msipotongozwa mnapiga foleni kwa Sangoma kutoa nuksi
  14. K

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _________________________________
Back
Top Bottom