Recent content by Kabwela

  1. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya viongozi TBS yanatuangusha au kuturudisha nyuma??

    Kwa wale wanaoifahamu TBS yetu na viongozi wake, tunashawishika kusema kuwa SIASA imevamia kwenye mambo ya kitaalamu (kwa mtizamo wangu potofu) Kwa duru za ndani ya TBS ni kwamba viongozi waliotolewa hawakuandaliwa ofisi wala majukumu mapya kasoro wachache sana. Wengi kati ya viongozi...
  2. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

    Uzuri wa picha hii ya Kova ni kuwa Serikali ya Kenya nayo itatoa tamko rasmi kwa kuhusishwa mkenya na kueneza uchimvi wa kikundi cha mauaji kutoka Kenya. Kwa hiyo script ya filamu bado iko kwenye maandalizi na inahitajiediting kubwa. TUSUBIRI TUONE NA MUENDELEZO WAKE
  3. Kabwela

    JamiiForums Tanzania MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Kwa mwenye akili timamu atatafakari ya nani atakayekuwa mshindi kati ya serikali (isiyo na madktari wa kutosha na inawafutia usajili wa muda ma-ntern) na madaktari na kwa pembeni wananchi. Ukiangalia tafiti nyingi zilizokwisha fanywa madaktari wanaofanya kazi kwenye taasisi zinazomilikiwa na...
  4. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Nataka kumng'oa Vita Kawawa (jimbo la Namtumbo) kupitia CHADEMA... Ushauri pls!

    Numbalile Kisaka! Wewe ni wa kutoka kilambo kipi katika jimbo hilo ili walau niweze kutoa walau hoja ambayo inaweza kuchangia kufanikiwa katika adhma yako. Unayosema ni kweli uwezo wa ndugu yetu Vita katika kupeleka au kushirikiana na wanaNamtumbo ni mdogo sana. Kwa kuanzia, jaribu kuanza...
  5. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Cell Phone Buying Guide

    Nakumbuka hata vodacom wanayo hiyo huduma ya post paid muda mrefu sana. Labda wengi wetu hatukuwa na taarifa hizi. Fuatilia makampuni ya simu hasa kwenye promotion na taarifa za kibiashara kuhusiana na simu ghali kidogo kama Blackberry na ofa mbali mbali utagundua wewe umechelewa. Mada ni nzuri...
  6. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Dawa za Malaria zitengenezwe TPRI Arusha tu!

    Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani...
  7. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Dawa za Malaria zitengenezwe TPRI Arusha tu!

    Muanzisha mada nadhani hujafanya home work yako vizuri kwa kuwa hufahamu kazi za TPRI. Jinsi majukumu ya TPRI yalivyo kuhusiana na viuatilifu (pestcides) ni sawa na mkemia mkuu wa serikali (GCLA) kuhusu kemikali za viwandani mf Cyanide au mamlaka ya vipimo na mizani (WMA) na mizani. Nadhani...
  8. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    Sisi ni wa m'mungu na kwake tutarejea. Hii habari ni kweli na nimeisikia hapa Tumbi hospitali.
  9. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Miaka 50 ya Uhuru: Tufurahie au tuililie nchi yetu? Johnson Mbwambo KARIBU wiki nzima hii, gumzo linalotawala mazungumzo ya Watanzania popote pale walipo; ni sherehe za miaka 50 ya uhuru ambazo zitahitimishwa Ijumaa, Desemba 9, na ambazo tumeelezwa kuwa zitahudhuriwa na marais saba wa nje...
  10. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Kwa wale wote waliuopita barabara eneo la resort watakubaliana na waziri kuwa tuna njia nzuri na hazina msongamano, maisha bora kwa kila mtanzani. Kuwa tegemezi kupitiliza mpaka nusu karne kweli tumepiga hatua kubwa sana kama Iraq na Afghanstan
  11. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Waziri Steven Wassira na Idhaa ya Kiswahili ya BBC

    Kwa wale wote waliuopita barabara eneo la resort watakubaliana na waziri kuwa tuna njia nzuri na hazina msongamano, maisha bora kwa kila mtanzani. Kuwa tegemezi kupitiliza mpaka nusu karne kweli tumepiga hatua kubwa sana kama Iraq na Afghanstan
  12. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

    Naomba kuuliza kama mTZ, kwa mantiki rahisi kabisa, iwapo CUF waliunga mkono muswada wa katiba kwa 100%, rasimu ya sheria imeshasiniwa na kuwa sheria. Wanaonana na JK kuwasilisha hoja ipi maana walishakubaloana tayari bungeni na sheria imeshasainiwa, hivyo watabadilisha kipi? Je NCCR wataonana...
  13. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Foleni Mbezi-Kibaha mizani inaashiria nini?

    Juzi mchani nikiwa natoka kibaha kwenda mjini Dar nilikwama njiani eneo la kibamba CCM kwa muda wa saa 3. Jana jioni nikiwa natoka kibaha kwenda kiluvya madukani imenichukua saa 2 (mita 800) kwa gari kutokana na msongamano wa magari. Inaanza kuzoeleka kuwa kukitokea tatizo lolote maeneo hayo...
  14. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa CHADEMA kusaidiwa na Ujerumani huu hapa na ule wa CCM hapa hapa!

    Tatizo kubwa tulilo nalo wengi wetu akiwamo aliyeanzisha mada ni kuwa tumeshahamisha mitazamo yetu na kuifanya tegemezi moja kwa moja. Maana hata rais wetu anatufundisha tuendelee kuomba na kutegemea vya wazungu kwa kutusisitizia kuwa asipokwenda kuomba misaada nje tutakufa njaa hivyo...
  15. Kabwela

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

    Walichoafanya wabunge wa CCM ni kama walivyofanya wabunge wa KANU Kenya wakati wa Moi na walipopeleka rasimu ya katiba wananchi wakaukataa, na kushinikiza waandae muswada wanaoutaka na ndio wamefika hapa walipo. Tuwape presha mpaka waogope na wakileta rasimu ya Kichakachuzi kama walivyozoea...
Back
Top Bottom