Recent content by kabwekasoma

  1. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    ni hatare sana kufanya veeting katika cheo kikubwa cha uraisi
  2. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na TAMISEMI hamlioni hili? Chukueni hatuaI

    niko inservice muda mrefu nahisi hata kabla ujazaliwa mimi nimeongea jwa uchungu kwani tunapoelekea msitakabari wa elimu yetu itabaki stori
  3. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na TAMISEMI hamlioni hili? Chukueni hatuaI

    Kwa heshima na taadhima naomba kushauri suala la elimu kwa nia njema maana yake inaenda kuwa chakavu na mbaya kutokana na upungufu mkubwa wa rasilimali watu (waalimu) katika shule nyiingi ukianzia shule ya Msingi mpaka Sekondari. Hali ni mbaya mashuleni kuanzia shule ya msingi kwani kuna...
  4. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Mhe: Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Popote ulipo amani ya bwana iwe. Kwa heshima na taadhima ninaomba kutumia fursa hii kukushauri kuhusiana na watumishi hewa na watumishi waliokuwa na vyeti feki (makanjanja). Nikianza na watumishi hewa (non existed workers) hawa hawatakiwi...
  5. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mji wa Mtwara wakosa maji zaidi ya siku 4 mfululizo

    Kuna bahari huko kachoteni
  6. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Marekani, Uingereza waungana kuonyesha wasiwasi wao juu ya hali ya Utoaji Haki nchini

    Navyomjua jiwe lazima azivamie hizo balozi wapekuliwe kisha awafungulie kesi ya money laundering.Usiniangushe jiwe hivyo wasitupangie ss ni Nchi huru
  7. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Nini athari za kupunguza kodi ya kuingiza magari nchini?

    Wakati zanzibar ushuru ukikalukulatiwa through (FOB) Bei ya bidhaaa peke yake kwetu wameinclude mpaka bei yake bima na usafiri
  8. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Nini athari za kupunguza kodi ya kuingiza magari nchini?

    Kuna jamaa yangu alinunua gari CIF $37000 jipaya zero mileage alitaka kulikimbia TRA mungu anawaona
  9. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Cheusi mangala ni yule mdada alikuwa anauliza maswali anataka magufuli amjibu, sasa hivi amebadilisha avatar
  10. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

    Nimekutana nayo mahali
  11. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Rais Theodora Obiang Nguema wa guinea ya ikweta atimiza miaka 40 madarakani

    Rais theodora obiang atimizi miaka 40 madarakani.Aliingia madarakani mwaka 1979 kwa kumpindua mjomba wake na kisha alimnyonga.Anasifika kwa ukatili na ufisadi mkubwa kwani amejilimbikizia mali za kutosha.Pia hukusanya waganga kona na pande zote nchini mwake kutambikia ikulu.Waganga hawa...
  12. kabwekasoma

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo yametokea kwenye usaili wa BRELA ya kushangaza. Je, hii ni kweli?

    Nina mengi ya kueleza lakini ngoja niishie hapa
Back
Top Bottom