Recent content by kabwe makanika

  1. K

    JamiiForums Tanzania Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

    Legal point of view yea uko sahihi but politically nadhan kuna taarifa anazo au amepewa mama zilizopelekea utenguzi…. Uliiona clip y’a KATIBU mkuu wizara y’a maji aliyetenguliwa…. Same desease ulezi wa madaraka na allogance
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

    Nadhani hujamuelewa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gekul amepata nafasi ya kusikilizwa?

    Sahihi, mengine ni porojo tu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Hapo kwenye milele umekosea… wewe unaamini dini huwezi sema hawaamshwi tena milele
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Sio usingizi sasa huo, wewe uliweka hoja y’a kulala na kuamshwa umehamia kwenye kifo….mijadala haiendi hivyo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Sometimes kelele za watoto huniamsha unasemaje hapo… weka bas hoja kidogo sio hizi mambo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Hapa umeuliza kitoto kweli…
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tusalini sana kama ni kuloga mjizindike sana

    Thanx, nimejiuliza hayo pia.. huyu ni aina y’a watu wanabeba stori tu bila hata kujiuliza
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Hata mimi sijui tusaidie kwa faida y’a wengi
Back
Top Bottom