Recent content by kabula mnyamwezi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wizi wa matela CRDB

    mnqsubiri nini kuhama bank? mie nilishakimbia huko.makato makubwa na kuibiwa niibiwe.hizi benk ndogo wapo vizuri mie nilihamia azania benki wapi vizuri mateler wanahesabu hela kwa uwazi unaridhika.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Benki ya Posta ni wezi sana

    jaman wananchi wengi mnapenda kulalamika pasipokua na ufahamu.kikawaida unatakiwa kuchukua bank statement yako kila mwisho wa mwezi ambayo ni bure kabisa lakini ukichukua kati kat ya mwezi lazima uchajiwe na unichukua zaidi ya mwezi mmoja lazima uchajiwe.muwe mmnauliza haya mambo wakati wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    mwanza mjini mtandao wa inyernrt mbovu sana.kufungua picha tu umetumiwa whatsapp ni issue.kutuma picha au video ni kazi sasa ku download ndio balaa kabisa.mwanza ni jj kubwa jaman jitahidin bas kuweka mtandao wa internrt ambao upo vizuri
  4. K

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    mdau nakuunga mkono hr kanda ya ziwa hovyo kabisa.nilifanya interview na mwatu walikua na watu wao wenye vigezo tukapigwa chin wenye ndugu wakaingia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    kazana kusema diamond kashuka wakat mwenzio mtvbase wimbo unapigwa.hao waliopo juu nyimbo zao zimefika huko?acha kumuombea mabaya kijana wa watu eti mr nice anamsubiri kona baa.mtasubiri sanaaaaaaa wimbo mzuri sanaaaaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuhamishiwa Hoteli Maalum

    umeongea neno!maana watu wanabwabwaja tu na lawama nyingi.kwa hadhi na status yake anastahili kwenda popote kutibiwa.nyie mnaopinga rais kutibiwa marekan kama kwel ni wa zalendo huwa mnaenda kutibiwa hospital za kwenye kata zenu?jibu ni hapana.kila mtu huwa anatafuta pale anapoona patastahili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado tutaendelea kuwa na First Lady na si Rais mwanamke

    naomba kuuliza.Rais akiwa mwanaume basi mkewe anaitwa first lady sasa je Rais akiwa mwanamke mumewe anaitwaje?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

    wewe nani kakuambia wakurya hawana hela?kanda ya ziwa sasa hivi wafanya biashara wakubwa ni wakurya.zaman tulizoea wachaga wameshikilia busn lakn kwa sasa wakurya wapo juu sana kibiashara.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa benki ya Azania ni vimeo

    mdau mtoa mada nadhan wewe ndio mwenye makosa.mie nilipoteza hiyo card ya benk yenye picha lakin niliendelea kupata huduma kama.kawaida sababu picha zipo kwenue system.inawezekana hukuelewana na wafanyakazi wa benki.siamini na sitaki kuamini umejibiwa hivyo.hukuwa muwazi wakat wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioolewa na mapenzi ya nje ya ndoa masomoni (vyuo vikuu)

    wanaume muwe wabunifu ili wake zenu wawe wanaridhika maana hawa dijitali wakikamata mke wa mtu wanajipinda hasa sasa mama lazima adate.nyie jifanyen wastaarabu faragha wenzenu ni fujo kwenda mbele.
Back
Top Bottom