Recent content by kabugira

  1. kabugira

    Nguvu nilizowekeza kwenye ujana wangu nakula Matunda yake sasa

    Wewe Mzee mwenzangu tumezaliea mwaka mmoja na tukasitaafu mwaka mmoja! Hongera sana. Hata mimi sijuti kwa kweli.
  2. kabugira

    Decorder ya DSTV inaweza kutumika kwa startimes bila shida!?

    Umeeleza kwa kina aise, hapo mbuzi kafia kwa mpika supu!😂😂😂
  3. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Thread 'Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani' Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani
  4. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Humu kuna uzi kuhusu hili na wataalamu wanashauri hivyo
  5. kabugira

    Nimemuota Kapeace, naomba msaada!

    Si useme tu kwamba unataka usindikizwe kwenda kwenye lile soko pendwa!
  6. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Sawa, hata hiyo video inaonyesha ni chuma
  7. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  8. kabugira

    OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Huku kwetu tulishaanza mchakato wa kupimiwa ardhi ili kupewa hati za nyumba na tulishafikia hatua ya kuwekewa beacon . Tangu Lukuvi aondoke kila kitu kimesimama!
  9. kabugira

    Car lift Jack

    Natafuta jack ya gari kama hiyo hapo. Kwa mwenye nayo aje DM tuongee biashara
  10. kabugira

    Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Sijui kwa nini Watu hawataki kuelewa kama ulivyoelewa wewe!
  11. kabugira

    Safari ya Dongobesh Wilayani Mbulu

    Kama wewe ni mpenzi wa masikio ya mbuzi na marefu andika umeumia, wanayafyeka!
  12. kabugira

    Looking for a serious man to start a family with

    Hapo nina fit kinyama! Swali moja tu, je unayo "masikio ya mbuzi" marefu ya kutosha?
  13. kabugira

    Nataka nitoke na binti niliyemwajiri. Kwa wale mliowahi kutoka na mabinti mliowaajiri kwenye maduka au ofisi zenu, hii itaathiri ufanisi wa kazi?

    Wewe kula tu bana, na wakati inatafunwa mwambie asimamie vizuri biashara kwani ni yenu wote!
  14. kabugira

    Tundu Lissu: Hizi Pikipiki zinatengenezwa China kwa Mamilioni lakini China hakuna Bodaboda hivyo Siyo Ajira

    Kwa nini mkulima asiwe na pikipiki yake ya kumpeleka na kurudi shambani na mazao yake akijiendesha mwenyewe? Kwa sababu mifumo haijaruhusu kitu hicho!
Back
Top Bottom