Recent content by KABUGHA

  1. KABUGHA

    Maji yamelowana

    Uzi uko wazi sana kama unafatilia kinachoendelea kwenye nchi yako
  2. KABUGHA

    Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

    FRANCIS DA DON, Nawaona wanawake wa kiislam wanaovaa kininja wakipona Sent using Jamii Forums mobile app
  3. KABUGHA

    Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

    Tatizo jamaa anachukua graduates na anawalipa kidogo sana sijui huo ubunifu watatolea wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. KABUGHA

    Madenge alivyoitikisa Tanzania

    Hatar sana enz hizi
  5. KABUGHA

    Madenge alivyoitikisa Tanzania

    Alisababusha niwe mpenz wa real madrid hadi sasa Kuna mechi moja alifunga goal akavua shat akawatupia mashabiki akanogewa, akavua bukta akataka kuvua mpaka chupi [emoji23][emoji23]
  6. KABUGHA

    Mbeya: Mtuhumiwa adai nyeti zake kutoweka baada ya kudharau onyo la Shekhe la kutembea na bintiye

    Hajazungumzia ni shekhe gani yaeza kuwa alimaanisha mzee
  7. KABUGHA

    Couple za shule ni shida

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. KABUGHA

    Mabibi na mabwana This is Simba tunazianza rasmi sherehe leo

    Aungurumapo simba mcheza nani?
  9. KABUGHA

    Unafahamu nini kuhusu Masters of Medicinal Chemistry?

    Ingekua ni bonge la program ingekua tuna viwanda vinavyowekeza kwenye kudevelop dawa mpya Ila viwanda vingi Tanzania huwa vinafanya kazi kama franchise au kutengeneza dawa zilizokwisha muda wake huko duniani so they don’t need to invest in R&D anymore
  10. KABUGHA

    Unafahamu nini kuhusu Masters of Medicinal Chemistry?

    Kama lengo ni kuajiriwa bora ukasome MSC chemistry Maaana hizo R&D institute tunayo NIMR nayo haipo effective kiivo Mm nafikiria kusoma msc medicinal chemistry ila upande wa traditional medicine (hii wanatoa hata muhas) Ila najaribu kucheki kama itakua na manufaa kwangu hususani kwenye swala...
  11. KABUGHA

    Dawa za mswaki sio rafiki kwako, fanya maamuzi magumu

    Well Mafuta ya nazi ni triglycerides ambayo ikifunjwa vunjwa unapata glycerine hii ipo ndani ya dawa ya meno Baking powder ni sodium bicarbonate ambayo itakuja kuleta sodium hydroxide ilioko ndani ya dawa ya meno ya kisasa Stevia ina stevial a glycosides which is up to 150 times the sweetness...
  12. KABUGHA

    Sababu kumi (10) Kwanini unapaswa kuwa na biashara mwaka huu 2018

    Shukrani kwa kushare nasi Napenda sana nyuzi za aina hii
  13. KABUGHA

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Wakuu mwenye vitabu vifuatavyo au ajuaye jins na wapi kwa kuvipakua atusaidie Business school for people who likes helping people by Kiyosaki 2. What works on a wall street by James P. O. O’shaughness
Back
Top Bottom