Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,597
- 858,099
- Thread starter
- #61
Mi huwa najiuliza Tiss na Jw ni mazombie au wenyewe sio wananchi wa Tanzania! Ndio matatizo ya darasa la saba na form four failures kuwa kwenye sehemu nyeti.
Zanzibar kukodisha/kuuza visiwa vyake: Iko vipi?
Habari zimetapakaa kuwa Zanzibar inauza visiwa vingine 9 mwaka huu, baada ya mwaka jana kuuza 10 kwa thamani ya $ 261.5 milioni! Kuna utatanishi ikiwa visiwa hivyo vinauzwa au vinakodishwa, kiasi wana habari wametumia istilahi zote mbili hizo. Wakuu wanasema wanakodisha. Kwa uzoefu wangu...