Recent content by kabongo1980

  1. K

    Nimesitisha rasmi zoezi la kwenda kwa Mrombo

    Mkuu hii nyara iliyomaanishwa hapa ni noah sio kingine. Siamini mkuu anakusudia ni twiga au simba au tembo. Huyu ni nguruwe tu mkuu. Nguruwe hafai tu kwa namna yoyote ile.
  2. K

    Nimesitisha rasmi zoezi la kwenda kwa Mrombo

    Kwa morombo ni sehemu salama sana la muhimu ukiwa unapita kwenye yale mabanda hakikisha unachagua nyama za moto yaani ukiangalia nyama unaiona kabisa hii nyama ni nzuri. Mkuu nguruwe si nyama nzuri yale mafuta utakua kama nguruwe ma ma e zako acha usengerema wa kula hiko kiumbe kilichoharamishwa.
  3. K

    Mitsubishi canter inauzwa

    Weka bei na picha ya gari. Unataka kupiga cha juu nini mkuu maana ndo style zenu ma ma e
  4. K

    Unatumia maneno gani au ishara gani kuomba unyumba kwa mwenzi wako

    Jf nikiingia huwa stress zinaisha simjui mtu huku ndani ila ni patamu haswaa
  5. K

    Arusha: Monaban Kuvunja Chungu kwa waliokula unga

    Kuvunja chungu ndo nini wakuu ???? Tafadhalini nieleweshwe.
  6. K

    Mchaga huyu mmmmh

    Hana hakika anacho kinena
  7. K

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    "Habali" ndo nini ???? Kajipange nyang'au wewe
  8. K

    Ifm undergraduate

    Mbona uandishi wako mbovu hivi ???. Accounts utaiweza kweli au 6 utaweka 9 kwa manjonjo na lwa style hiyo kuwa makini sana usije "ukadisco" semesta ya kwanza. Pumbafyu
  9. K

    msaada wa tally accounting ERP 9

    Muhindi mmoja hivi anatumia namba ya voda. Niliona fb nambake nikamtext ila kakataa katu kutoa notes nilikua nataka softcopy anataka hadi ninunue software. More than 4.5m tally ambayo sio cracked multiuser
  10. K

    Mapenzi gani haya?

    Mkaguzi wa mahesabu anakagua na mashine kuangalia oil chafu n.k
  11. K

    Tupia meseji maalumu kwa alieachwa na mpenzi wake ili iweze kumfariji na kumpa amani

    Mkuu usipende 100 acha asilimia chache za kupoozea maumivu
  12. K

    msaada wa tally accounting ERP 9

    Naomba mwenye notes za tally erp 9 anitumie wadau. Kuna jamaa wa power computers sema alinibania kisa natumia cracked software
  13. K

    Mtoto kameza gololi

    Mpe maharage anye mbona nya inapitaga pale fresh tu bana
  14. K

    Kutamani wafiwa hakufai!

    Pale jamaa kachagua. Ngoja tumtafutie kauzu mmoja wa kule bungeni akaendelee kula neema za mungu.
Back
Top Bottom