Recent content by Kabondo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    Acha kuendekeza nyege wewe zitakufikisha pabaya
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

    Kama haki imetendeka kwani ww una maslahi gani mpaka useme hivyo? Let's let the law take it's course.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Airtel na kifo cha Sharo Milionea

    Jamani,mie nadhani sio tatizo,mbona Mwl.Nyerere hotuba zake huwekwa kila mara lakini hatulalamiki?
  4. K

    JamiiForums Tanzania NIMEDHAMIRIA KUMTEKETEZA BOSI WANGU!!!!!!!!!! For GOOD!

    Mh! Kama huo ndo ushauri ambao dada zako huwa wanategemea kupata toka kwako,wamekula hasara kubwa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Suprise nyingine kazi kweli kweli

    Kama huyu mwanamke jana yake usiku walilonga "akiwa songea",kwa vyovyote safari angeianza asubuhi ya siku iliyofuata,na kwa vyovyote wasingekutana mchana Kariakoo ,maana ma-bus hata gari private toka Songea hadi Dar hufika jioni.Labda amwonyeshe ticket ya ndege,vinginevyo atakuwa ametumia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Love

    yes,hiyo ndiyo amri kuu kuliko zote, "UPENDO"
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Hata zikiwa risasi za moto,kwa kawaida zinapofyatuliwa hewani,zinaporudi chini huwa hazina madhara yoyote,nguvu yake huwa tayari imekwisha.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa rc arusha magesa mulongo

    Sio kweli,Mulongo hakuwa anafanyakazi posta,bali alikuwa TTCL kama R.manager(Utawala)
Back
Top Bottom