Recent content by kabon14

  1. kabon14

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na ubunifu wa fundi huyu..!

    Miaka saba sasa tangu niombe ushauri juu ya fundi wangu lakini bado nataabika.
  2. kabon14

    JamiiForums Tanzania Kwanini Joseph Kasheku (Msukuma) anadharau wasomi?

    Ni ombaomba na machawa
  3. kabon14

    JamiiForums Tanzania Njoo Dar ujifunze maisha

    Ukiishi DSM lazima uwe dalali
  4. kabon14

    JamiiForums Tanzania Watu wenye akili hatupendwi, jamii inatuchukia na kututenga sana

    Huna maarifa
  5. kabon14

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Yanga ni timu mbovu sana
  6. kabon14

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tubadili mtazamo ili kuepukana na tatizo la ukosefu wa ajira

    Kabla ya kubadili mfumo wa elimu, tunatakiwa kutafuta maarifa yakayo tusaidia kufika tunapotaka.
  7. kabon14

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tubadili mtazamo ili kuepukana na tatizo la ukosefu wa ajira

    Habari wakuu! Niwazi kuwa vijana wanapitia changamoto za ukosefu wa ajira licha ya kuwa na sifa za kuajirika. Wimbi la wasomi linazidi kuongezeka ilhali namba ya waajiri ikiwa pale pale ua kuongezeka kwa kiasi kidogo. Je, tatizo ni kwamba hakuna nafasi za kazi au waajiri hawawezi kumudu idadi...
  8. kabon14

    JamiiForums Tanzania Tano bora ya watu potential JamiiForums wenye nyuzi za mikito na ushawishi

    Bila mimi Hamna kitu
  9. kabon14

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi nina astashaada ya ICT

    Unaweza programming?
  10. kabon14

    JamiiForums Tanzania Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    nisibadili madem
  11. kabon14

    JamiiForums Tanzania Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

    Dogo baada ya kuskia tunapga story kuwa jamaa flani ni shoga, dogo kauliza shoga ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kabon14

    JamiiForums Tanzania Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?

    CHADEMA haiwezi kufa mpaka CCM itoke madarakani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kabon14

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kumshtaki baba yangu

    Kwa ambao hamjawahi kuletewa mapichapicha na wazee wenu mnaweza chukulia poa. Mimi ni mmoja wa wahanga nakushauri mkuu shtaki hilo zee huna kosa wala laana yeyote hapo.
Back
Top Bottom