Recent content by kaboko

  1. K

    MUHIMU: Majina ya waliopitishwa kugombea Urais TLS

    Kura kwa stolla ni mahiri..hodari na mpenda haki. ..nimemahudia katika kazi zake...hana papara...kama ni team basi ni mwalimu na cocha mzuri ana anatambua kanuni na sheria na maadili mazuri. ..tumpe kura zetu
  2. K

    Msaada kuhusu UTI

    Pole ndugu....ushauri wa bure na lazima...mimi sio daktari lakini penda kutunza afya yako ...nenda hosptali za serikali au binafsi uwaone mabingwa madaktari kwa kila tatizo au kupima afya yako kwa usahihi...wakati unaumwa au wakati huumwi fanya medical chekup mara mbili kwa mwaka au nne kwa...
  3. K

    Natafuta mume 45-55

    Kwanza hongera kama kweli your honnest....karibu
  4. K

    Madereva wa magari ya serikali wanauza mafuta ya wizi Sinza karibu na kituo cha daladala simu 2000

    Biashara hiyo inafanyika hapo siku nyingi...hata gari zetu tulizikamata kwa kutumia setilite cordinates...huenda watendaji serikali za mitaa na polisi jamii wamebariki biashara hiyo maana madereva wengi magari ya serikali na mashirika na hata binafsi hiyo ndio njia wanatumia kujiongezea...
  5. K

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    na kweli...nina ukweli maana tanesco people wamekua kama miungu...tatizo lolote ukiripoti hata kama taarifa za kuripoti ziko sahihi lazima wasumbue...tumeambiwa umeme sasa tatizo hakuna tena...lkn maneno na utekelezaji ni tofauti...maneno ya ahadi ni mengi....kwa watanzania lazima...
  6. K

    TANESCO, mgao huu una sababu gani tena?

    kukatika kwa umeme hovyo na au tanesco kuwapa watumia low voltage au high voltage ni tatizo la kiutendaji...watendaji hawako setious wala hawajali wateja wao...rushwa na utendaji mbovu ni janga la kitaifa kuanzia ngazi za juu hadi watendaji wa chini...mabadiliko uanaojika makubwa sana ktk nchi...
  7. K

    Prof. Muhongo tunakupongeza kwa hili la Gesi kuanza kutumika

    Tatizo wengi tunarukia kusifu tu...Jambo la msingi Muhongo alipokuwa waziri alitakiwa na ilikuwa lazima afanye kazi vema kwa kufuata job description ya kazi aliopewa.Ni wajibu yy atimize job description yake..Mambo ya gas ni mambo yako planed siku nyingi..maamuzi ya lini kazi ianze ili kuvuna...
  8. K

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Poleni chadema/ukawa kwa msiba..yote kama binadamu tunasema ni mapenzi ya mungu....mungu aliumba na alitwaa....tuko pamoja kuombea ndugu yetu na familia yake...kwa hiyo chama na wanachama na wasio wanachama tusimame imara msikate tamaa
  9. K

    Wanaharakati, wasomi wamshukia Magufuli kuhusu mabadiliko

    kupiga kampeni na kudanganya fikra ZA WAPIGA KURA KUTOA MANENO YA KUTISHIA KAMA VILE VITA AU HATA MANENO MABAYA SI JAMBO JEMA...MANENO AU MATAMSHI KAMA HAYO MABAYA MAANA YAKE....NI HILA ZA MAKSUDI ZA KULAGHAI WANANCHI....NA KWA SASA WANACHI WAMEzinduka kulaghaiwa..
  10. K

    UKAWA/CHADEMA mripoti hili NEC mara moja, la sivyo mtajuta muda si mrefu

    saafi sana mkuu..lisemwalo lipo na kama halipo laja...tahadhari ni muhimu...hapa ni kuviziana tu...ukwa ukisinzia kidogo tu imekula kwenu...mkiacha maneno ya kutishia amani yanaezwa juu yenu imekula kwenu...muda ni huu....changamka kwa hoja nzito na maana...muwe wabunifu kila...
  11. K

    Tuwe tayari kuahirisha mabadiliko kuliko kukubali hadaa!

    Tutachagua jiwe kama hamtaki kumpa kura lowasaa..lowasa ndie jembe..ni kiongozi bora mapungufu yake machache...ccm wamesimamia kila kitu kinaenda hovyo hovyo tu...mfn angalia viwanja vya wazi..mfano jangwani...ilikua sahihi kuruhusu ujenzi wa mijumba?eneo km hilo lilitakiwa liwe wazi litunzqe...
  12. K

    Tofauti iliyopo ya uchaguzi kati ya Tanzania na Kenya

    Naunga mkono..katika fikra za kawaida....mara nyingi wanandoa wenye fikra finyu..ndoa inapovunjika huwa kuna kitabia mmojawapo asiekua na busara qala hekima huropoka hivyo au kutoa hoja za hovyo akidhani anamkomoa mwenzake....kuna kitu wanasema nikosa tukose wote...hii ni zana potofu kwa kuwa...
  13. K

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    ukweli ni huu...mtu yeyote aliekua ni mtumishi mwaminifu katika imani yake....kuhubiri...amani...hekima...busara na kuzungumza kwa kiadi ukizingatia uelewa na tofauti za marika ya watu...ukifanya kinyume mara nyingi ni hatari kwa anaefanya kinyume na viapo vya imani alivyohubiri hapo awali akiwa...
  14. K

    Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Muache Mzee wa akapumzike...ameshatoa duku duku lake la chuki moyoni...amedhani ameharibu...ameharibu dhamani yake kuitwa doctor...heri sisi walala hoi tuna busara kuliko slaa alivyatamka matamshi ya chuku,ubinafsi na uchochezi uusio na mashiko kwa jamii ya kitanzania...ninafurahi wanachi ni...
  15. K

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    ninavyofahamu..watu wote walioishi katika imani vema....wanaongea kwa busara na hekima...hawana vinyongo au wivukupindukia....kurudirudiaaneno kwa jazba ni ishara tosha mtu aliekua ktk misingi km dr leo amenisikitisha sana..jambo muhimu kuelewa wananchi tunampenda lowasa katika chama chochote...
Back
Top Bottom