bluetooth ya simu iko visible to all nearby devices. Je, hizo drivers zinaweza zikawa downloaded kwenye mtandao?? na pia kuhusu icon ya bluetooth ipo ila niki select kwenye sehemu ya "add device" haikubali ku add device ya bluetooth ya simu yangu na wakati iko visible kabisa
naomba msaada wana jf. nimenunua laptop na ina bluetooth lakini cha kunishangaza ni kwamba haifanyi kazi yaan nikiitafuta kwakutumia simu yangu, bluetooth ya laptop haionekani. je, nifanyeje ili iwe inapokea bluetooth za nje? au kuna driver zake sijaziinstall??
Naomba msaada wa kuweza kudownload movies pasipo kutumia utorrentz. Kwasasa naona hii utorrentz wameisitisha kwahiyo haifanyi kazi tena. kwahiyo naomba mwenye uelewa anisaidie nifanyeje
Mfano ni upangaji wa divisions za hapa kwetu Tanzania, mfano thamani ya grade A ni 1, B ni 2, C ni 3, D ni 4 na F ni 5. Kwahyo mwanafunzi akipata A 7 ktk masomo yake anakuwa na div I ya point 7. Je, kuna formula ya kurahisisha kupata divisions za wanafunzi wengne kwakutumia formula maalumu...
Jamani wana JF naombeni msaada wa formula ya kupanga Divisions za matokeo ya mitihani kwenye Microsoft excel yaani mfano Div I, Div II, Div III, Div IV na Div 0.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.