you tube yapo maelekezo mazuri?? au kama vipi nisaidie hayo maelekezo ndugu yangu hivohivo nitakuelewa tuUngejaribu Youtube nadhani ingekuwa bora zaidi,
Hapa naweza kukuelekeza lakini maelezo yatakuwa marefu mno
Youtube unaoneshwa hadi vitendo yani fullyou tube yapo maelekezo mazuri?? au kama vipi nisaidie hayo maelekezo ndugu yangu hivohivo nitakuelewa tu
ok, nisaidie ni type maneno gani you tube yanayohusiana na upangaji huo wa matokeo ya mitihani ktk divisions?Youtube unaoneshwa hadi vitendo yani full
Mfano ni upangaji wa divisions za hapa kwetu Tanzania, mfano thamani ya grade A ni 1, B ni 2, C ni 3, D ni 4 na F ni 5. Kwahyo mwanafunzi akipata A 7 ktk masomo yake anakuwa na div I ya point 7. Je, kuna formula ya kurahisisha kupata divisions za wanafunzi wengne kwakutumia formula maalumu kwenye excel??hiyo inategemea na wewe.....unataka uweke kwa limit ipi ya kiwango cha alama ulizonazo......Kama ushawahi itumia IF function itakusaidia.......
Nimekuelewa kiasi labda subiri raia waje hapa....watakusaidia....Mfano mimi nahitaji divisions za hapahapa kwetu Tanzania. Mfano thamani ya grade A ni 1, B ni 2, C ni 3, D ni 4, F ni 5. Kwahyo mtu akiwa na A 7 katika masomo yake anakuwa na division i ya point 7. je, kwenye excel unawezaje ku create formula ya kurahisisha kupata divisions za wengine wanafunzi?
ww alex hujui kitu unamhangaisha tu jamaa maana ulisema maelezo marefu na amekwambia umueleze kwa kifupi unavyoelewa au hata ataip vp you tube, sasa unasema umemwelewa kiasi!!? mbona mnapenda kuwapa wenzenu matumaini bandia hata kama hujui chochote!!!??
Mpaka mwanafunzi awe amefanya masomo yasiyopungua saba (7). Kwahiyo kwa amsomo tu matatu hapo hakuna DivisionHiv kwa grade za mwaka Jana C C C ni division ngapi?
I.9Mpaka mwanafunzi awe amefanya masomo yasiyopungua saba (7). Kwahiyo kwa amsomo tu matatu hapo hakuna Division
njoo PM nikufundishe direct ukiwa na network na computer yako! excell by using team viewer!Jamani wana JF naombeni msaada wa formula ya kupanga Divisions za matokeo ya mitihani kwenye Microsoft excel yaani mfano Div I, Div II, Div III, Div IV na Div 0.
PM ya saa ngap??njoo PM nikufundishe direct ukiwa na network na computer yako! excell by using team viewer!
sasa hivi! uko tayali!PM ya saa ngap??
Ndio niko tayarisasa hivi! uko tayali!
YOUTUBE hamna kiyuuuuuuuuYoutube unaoneshwa hadi vitendo yani full