Ajira za walimu wapya 4,000+ zimetoka

Ajira za walimu wapya 4,000+ zimetoka

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Waziri wa tamisemi katangaza rasmi leo hii pdf ikitokatutaiapload hapa
Screenshot_2019-04-27-12-31-41.jpeg
Screenshot_2019-04-27-12-29-32.jpeg
 
Waziri amesema waliopewa kipaumbele ni walimu wa shule za msingi,pia walimu wa sayansi diplomana na shahada na walimu wa elimu maalumu, uchumi biashara na sayansi ya jamii, huku walimu wa arts ( sanaa) wakiwa hawajaangaliwa kwa jicho la karibu
 
Hapo ni kama ni mwendo wakubet maana waombaji wapo 91 elfu halaf kibali kilichotoka ni kwa walimu elfu 4
 
PDF Tafadhali mwenye nayo aipandishe hapa jukwaani maana website ya tamisemi ni matatizo tupu
 
Daaah ile pesa niloitoa kuhonga, sijui itazaa matunda au ndo basi nimechangia tumbo la mtu tu.
 
Back
Top Bottom