Recent content by Kabia the great

  1. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Yupo Mfanyakazi wa 1391, hamtaki tu kumtaja

    Ukimjua mfanyakazi wa 91 unaweza kutembea uchi kuanzia hapo ulipo mpaka ikulu
  2. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Maduka mazuri ya vifaa vya umeme

    Vifaa original vinapatikana kila duka la umeme ila kwa urahisi wa bei nenda mtaa wa agrey kwakua hata wauzaji wa mitaani wanachukua pale kuhusu gharama hatujajua unahitaji kitu gani na kitu gani na hiyo wiring unataka ya aina gani..
  3. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Samsung TV flat screen

    Mpigie huyu jamaa ni dr.mzuri sana wa tv flat atakusaidia 0713207062 anaitwa abbac
  4. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hii Samsung TV

    Nenda startimes watakutengenezea kadi mkuu hyo kadi haiwezi kukubali hizo tv hata digitek wanazo
  5. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Tafiti: Wanawake wenye makalio [hips] nene huzaa watoto wenye akili sana

    Wewe fungukia2 hisia zako mkuu...usitujumlishe na cc
  6. Kabia the great

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuangalia startime bila kulipia

    Weka antena vzur ksha search tena.......
Back
Top Bottom