Ok nakuchukua taratibu
80,000 ndani yake ina VAT so tuitafute hiyo VAT
VAT ndani ya 80,000 ni 12,203
Hii 12,203 ndo VAT uliyolipa wewe wakati unanunua bidhaa. Kwahyo gharama halisi ya bidhaa uliyonunua ni 80,000 - 12,203 = 67,797 kama ingekuwa haijadaiwa VAT
Kwa wewe kuuza 100,000 VAT uliyo...