Recent content by KABAZI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lundenga: Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu ni miss halali mwenye vigezo vyote

    Ili akubalike alitakiwa aje na vyeti halisi sio longolongo tu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ebitoke !!!

    Namba 1 ni maharage na Dagaa na namba 2 ni nsholo kwa nyamaa namba 3 ni maharage meupe na nyama
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ebitoke !!!

    Oyaaaaa wivu huo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ebitoke !!!

    Ekyo kyo omuka, koikumalao wakwata akagilasi akenguli olaleka!!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa bongo mtanisamehe hapa

    ni wazuri kwa maumbile ila mfumo wao wa kifamilia ni MATRILINEAR, kwa hiyo urithi na haki zote za watoto zinakwenda upande wa mwanamke
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mbunge anataka kuvunja ndoa yangu, nifanyaje jamani!

    sasa hapo kakutishia kuvunja ndoa yako au wewe ndio unataka kuivunja. Hapo nani wakusema NO kwa mwenzie ni huyo mtoto wa mbunge au wewe
  7. K

    JamiiForums Tanzania Big result now...!!

    hayo maelekezo ya kibao unaweza ukakuta hakuna hata msingi, ni mawe na kokoto tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania classic garden

    gharama za kuitunza hiyo ili iwe hivyo, huku kwetu unaweza lima mahekari ya mazao
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndio picha ya Noha ilivyokula mzinga na kuua watu palepale barabara ya Moro -Dodoma

    Mi naamini kwamba kupona au kutopona ni mipango ya Mwenyezi mungu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    bwana wee tumechoshwa na kusafishana, mahakamani ndio mahala pa kusema ukweli. Kama yeye hajafanya hilo tendo aende huko akaongee ukweli wenyewe.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Lisa Jensen

    tatizo ni kwamba wanapokuwa kwenye mashindano wote wanakuwa very Beauty, wakishaanza kuchezewa ndio wear and tear inapokuja na wanaanza kuchoka
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimekumiss Marangu Mtoni...!!!!

    pale mbele ya ASHIRA GIRLS kulikuwa na Bar moja inaitwa BABYLON, hapo ndio ilikuwa break yetu kabla ya kuendelea na safari ya shuleni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Walio wahi kutikisa hapa bongo

    mzee wa kazi , kwa kukamata magobole na SMG si mchezo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

    Jamani tusifike huko hivi kuna kilema ni ukabila??? kwamba kilema hiki ni kabila fulani basi hata maalbino wangekuwa wanatokea kwenye kabila fulani tuuu :disapointed:
  15. K

    JamiiForums Tanzania Gonga like kama umekubali huyu mtoto ni mzuri

    mi naona rangi tu nyekundu na mapoda mengi basi sioni uzuri hapo
Back
Top Bottom