Recent content by kabayang

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji na urasimu wa kupata hati ya kusafiria

    Utatakiwa usafiri ukiwa na passport zote mbili yaani mpya na hiyo ya zamani yenye visa,utaionyesha hiyo yenye visa pale itakapohitajika.
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Siyo Davies ni Davids
  3. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

    Smaa,Bazzu,Fresh ya shamba,Royal Sumai,Mapande,Super Kamwala,Air chalinze,Kamwanga line,master city,Born City,Air msae,Hatco,Mfahamiko,Rundugai,Ndewedo,kindokyakosembe,ushirika masaseni,embakassy,sharuks,,Fitina jirani,siri yako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Sawa mkuu nimekuelewa nashukuru
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Shukrani mkuu ila tupo mkoani tuliwapigia wakasema wanasubiri listi nyingine kutoka TCU
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Lissu alisema hakuna alie salama
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msaada:Inawezekana kwa kutumia ile code ya TCU kuconfirm vyuo zaidi ya kimoja?

    Mkuu mimi mdogo wangu akaunti yake ya CBE inaonyesha kuwa amechaguliwa huko ameambiwa afanye malipo ya awali na aripoti chuo tarehe 23,lakini kwenye list iliyotangazwa na chuo hicho jina lake halikuwepo!kuwapigia akajibiwa listi ilikosewa,naomba maoni juu yahili.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Miamvuli ya kujiokolea kwenye Boeing 787-8 Dreamliner yetu, ipo Sehemu gani?

    Inapotokea dharura na ndege inatakiwa itue na hamna uwanja karibu best option inatua kwenye maji na sio porini ndio maana ndege zote zina life jackets.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Pia kuna matundu ya kutolea maji ndani ya kivuko kama yatakuwa upande huo uliopo nje ya maji kunauwezekano yakasaidia kuingiza hewa ndani japo ni kidogo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Pia kuna matundu ya kutolea maji ndani ya kivuko kama yatakuwa upande huo uliopo nje ya maji kunauwezekano yakasaidia kuingiza hewa ndani japo ni kidogo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Moshi miaka ya 90 hadi 2000's

    Nimemkumbuka mzee Gogo alikuwa na mashine ya kusaga na kukoboa karibu na soko la mbuyuni.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Darbrew (Chibuku) Yasitisha Uzalishaji

    Nadhani pia pombe aina ya BURUDANI imeua soko la chibuku.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Shukrani mkuu
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania LIVE UPDATE TPL 15/9/2018

    samahanini wakuu naombeni link yakujiunga na group la mashabiki wa simba na yanga WhatsApp.
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    samahanini wakuu naombeni link ya kujiunga na group la mashabiki wasimba na yanga WhatsApp.
Back
Top Bottom