Lea tu mkuu you never know anaweza kuwa Diamond ajae so far kulea mtoto mpaka awe mtu mzima ni kama fadhira tu otherwise tulitakiwa kuwa kama kuku au ng'ombe baada ya umri fulani no relationship kila mtu na njia yake
Hapo walau umenielewesha mkuu kwa sababu swala la kitu ambacho upo ndani yake kizuie nuru ya kitu kingine tena ambacho hakina asili ya mwanga na bado kile kinachozuiwa kionekane kidogo ngumu kumeza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.