Recent content by KABALEGA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Top Universities in Tanzania and in Africa

    Naona Dodoma inazidi kuchanja mbuga,, UDSM kaeni chonjo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualimu?

    Habari! Nauliza tuu jamani je, inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualim? Mfano utendaji wa kijiji, kata au hata ustawi wa jamii? Na vipi anaweza kuomba ajira kama hizo na akaajiriwa? BARUDIA TENA KUULIZA SI UJINGA, Anae elewa anijuze hili swala.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Dr. Mwigulu: Natamani ningemuona Abdul Nondo hapa, mimi nilikuwa moto zaidi yake

    Mmmmh eti mambo madogo ya wanafunzi? Kweli wana chuo kwa sasa tunadharaulika sana
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania A boy from Tandale: Albamu bora ya muda wote Tanzania

    Mmmmh
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je! Mungu ni yule yule?

    Hahahahahahahaaaaa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je! Mungu ni yule yule?

    Hahahahaaaaaaaa we jamaa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo sijawahi kusikia uthibitisho wowote kuwa Serikali ndiyo inateka watu

    Kama hajakuelewa basi anashida kidogo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Nimeuliza bei mkuu, kila kitu kipo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Hata Mimi nimeshindwa kumwelewa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Ni fuate watsap 0769112316
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Ni tsh. Ngapi kiongozi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Serious? Itakuwa vyema Lini nikuletee
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Cha msingi uelewe tuu mkuu au vipi kaka
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya junia la mkaa pamoja na MBAO kwa DAR ES SALAAM

    Kama kichwa kinavyo jieleza, naomba kujua bei ya mkaa kwa dar es salaam, kuna junia 40 zipo zipo tuu nahitaji kuzisafirisha kwenda Dar,, pia naomba kujuzwa bei ya mbao yenye urefu wa futi 10 aina ya mninga ,zipo mbao kama 45 zenye kiwango cha hali ya juu.
Back
Top Bottom