hongera kamanda mnyika kwa kuondoa wingu hili naamini watanzania wanatambua uwezo wako katika kusimamia mambo ya msingi na hili ni muhimu zaidi katika kipindi hiki cha harakati za kulikomboa taifa hili pia uwezo wako darasani ni elimu tosha kwa wengine wote waiokuja na hoja mfu ya elimu yako...
Mi nazani badi lengo la kichaa kashilila na mafisadi wenzie lipo pale pale ukisoma kwa makini alichoandika ni sawa na yale tunayoyakataa na kuyapinga kwa sababu watakuwa wanarusha wanachotaka wao kwa maana ya kutumia camera za bunge hili ni changa la macho watanzania hivyo ni jukumu letu kwa...
Sina uhakika na mleta mada kama alifanya vizuri tathimini zake kwa maana CHADEMA ni taasisi na si mtu mmoja mmoja hivyo kwa binti shombo kuiathiri CHADEMA hapo nadhani hujapafanyia kazi vizuri kwa maana kwangu nazan yahitajika NEC na CC kwa pamoja wakeshe na kuomba wakiongozwa na mtoto wa...
by zomba
waonekena una mtindio wa akili maana sio bure kwa kipindi hiki kukutana na mtanzania wa aina yako au ndio njaa kaka punguza umiza kichwa mwanaume acha kuishi kwa fikra za watu wajua ni kiasi gani watanzania wanaathirika na mfumo wa bi kiroboto na mashehuna wenzie basi endelea...
nazan sio wazo baya kwa kuamuni hizo ni kero kubwa kwa watanzania na si wa ubungo tu ila pia watanzania wa leo wanajua wanachokifanya na wanauelewa mkubwa sana hivyo ni vema kuangalia hilo pia daresalaam yote matatizo yake yanalingana hivyo ni busara kuangalia na kushauri njia za kumaliza tatizo...
pia umesahau walimchochea waziri mkuu kulidanganya bunge kuhusu mauaji ya arusha. pia walichochea meri ya msomali kinana kuiba na kupeleka meno ya tembo china aisee hawa chadomo balaa
Kaka tumia hata busara na akili kidogo umeandika barua kwenda kwa katibu mkuu CDM kukata rufaa na kuomba mwongozo toka kwake ila huyo huyo unaetaka akusaidie umemkashifu, kumdharau, kumdhalilisha, na pia kumtukana kwa maana ya umri wa Dr. Slaa na wewe na hayo maneno yako ni sawa na matusi kwake...
kweli we mwehu siamini kama mzima na una akili sawsawa kwa hoja unazozitoa hapa jf dhidi ya cdm nazani ndio wale wale wazee wa kufikiri ki meya wa dar pole sana cdm 2013 haina kulala hadi ikulu mbwiga wewe.
chadema ni taasisi hivyo hao vilaza wanaotajwa na gamba nchemba waende tu wakati some namba Yuko kwa am gamba CDM haina Shida na wachumia tumbo vilaza hao.
hongera sana kubenea tanzania yahitaji waandishi wazalendo kama wewe tunalimiss sana gazeti la mwanahalisi na tupo nawe kipindi hiki kigumu kwa wapenda haki na wadau wakubwa wa gazeti hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.