TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,046
Nirishahisi harufu ya kimagamba gamba ndiyo maana nilikuwa namvutia pumzi kidogo!Mkuu TUKUTUKU achana nae huyu Mingoi kibaraka wa muda mrefu wa Magambae
Nirishahisi harufu ya kimagamba gamba ndiyo maana nilikuwa namvutia pumzi kidogo!Mkuu TUKUTUKU achana nae huyu Mingoi kibaraka wa muda mrefu wa Magambae
Kutokana na umahiri aliouonyesha mh.slaa kiasi cha yeye kuwa ndio kama nembo ya chama kwa sasa na ili kuepusha makundi na kuondoa mpasuko unaokinyemelea chadema nadhani ni wakati muafaka na pia kwa maslahi ya chama Dr. Slaa agombee uenyekiti wa chama na Mh. Mabere Marando agombee ukatibu mkuu wa chama.
Nina imani hawa wawili wakifanya kazi pamoja kutokana na ukaribu wao chadema itafika mbali sana na kuondoa dhana kwamba chadema ni chama cha kabila fulani tu.
Nawasilisha.
Nenda makao makuu kamuulizie,ukifika kwa secretary ulizia babu utampata.Babu ndiyo nani?tafadhari nijulishe kwanza ili tuendelee na mjadala!
Umesahau wazinzi pia kama Mwigulu
Watu wengine bwana,!! Ukijisikia Kunya si uende Chooni?? Kwani ni lazima ulete UHARO wako huku JamiiForum???Kutokana na umahiri aliouonyesha mh.slaa kiasi cha yeye kuwa ndio kama nembo ya chama kwa sasa na ili kuepusha makundi na kuondoa mpasuko unaokinyemelea chadema nadhani ni wakati muafaka na pia kwa maslahi ya chama Dr. Slaa agombee uenyekiti wa chama na Mh. Mabere Marando agombee ukatibu mkuu wa chama.
Nina imani hawa wawili wakifanya kazi pamoja kutokana na ukaribu wao chadema itafika mbali sana na kuondoa dhana kwamba chadema ni chama cha kabila fulani tu.
Nawasilisha.
Au kwa vile huko MAGAMBANI kwenu mmezoea kubadilisha Makatibu Wakuu kwa sababu za kupwaya, basi lazima na CHADEMA kibadilishe Katibu Mkuu????
CHADEMA mambo hayaendi hivyo. Udhaifu wa MAGAMBANI usitake uwe ndiyo muongozo kwa CHADEMA. Kama chama makini, CHADEMA kina taratibu zake. Hivyo kila jambo litashungulikiwa kulingana na matakwa ya Katiba na hali ya Kimazingira na sio kwa sababu MAGAMBA wanafanya vile basi na CHADEMA kifanye vivyo hivyo. Hapo ndiyo unauona UTOFAUTI wa CHADEMA na MAGAMBACCM.
Watu wengine bwana,!! Ukijisikia Kunya si uende Chooni?? Kwani ni lazima ulete UHARO wako huku JamiiForum???
Eti Dk SLAA agombee,Uenyekiti,na Marando awe Katibu Mkuu! Ili kuondoa Mpasuko na Hisia kwamba CDM ni Chama cha Kabila Fulani!!! Shame on You Gamba!!!!
Wewe ni nani aliye kuambia kwamba Chadema kuna Mpasuko,? Na kama kunayo inakuhusu nini?
Si uende kule UDP,SAU,TPP maendeleo,TLP,CHAUSTA,CUF nk,ambako CCM hawaangaiki nao,uwaambie Wabadilishe Wenyeviti kama kweli,dhamira yako ni ya dhati kwa Upinzani,na sio ya Kinafiki kama unavyoonyesha kwa huu Upuuzi ulioupost kuhusu Chadema!!
Chadema hatuko tayari kuucheza Music,wa Mafisadi [CCM]na Mamluki kama wewe unaetujia na Cd ya Kujidai eti unatoa Ushauri!
Siku zote mtu mnafiki utamjua kwa Maneno na Mawazo yake.
Unataka kusema kwamba wewe hujui kuwa Chadema,kimepata kua Chama makini na na Tishio kwa Ccm chini ya Mwenyekiti wa sasa,MBOWE na Katibu Mkuu Dk SLAA!?
Kama Dk SLAA atakuwa Mwenyekiti na Mbowe atakua nani?
Chadema bado kina Muhitaji Mbowe na Mbowe bado anakihitaji CDM,ili kuendelea kujenga Chama imara kisichoyumbishwa, na Mafisadi Ccm.
Tunaona jinsi ambavyo Kina Mwigulu MZINZI, Nape na Wassira wanakazana kuaminisha Wadanganyika Kuwa Chadema ni Chama cha Udini, Ukanda, Ukabila na Fujo! Lakini Propaganda zao hizi Nyepesi zimeshindwa.
Niliwahi kusema humuhumu JF,kwamba Watu Wapuuzi wamekuwa wakitumia baadhi ya Vyombo vya habari,na Wahandishi Uchwara na wenye njaa kujaribu Kumchafua Dk SLAA na Chadema!!
Lakini mwaka huu Habari zao,za Uwongo na unafiki hazitakua na Tija kwa Watanzania,wala hazitakua tena ni habari!
Habari mwaka huu ni Kuhusu Kusini na Gesi yao,.!
Sasa kama Mwigulu MZINZI,Nape na WASSIRA ni Wazingumzaji wazuri sana kama tunavyoonaga Wakiisakama Chadema na Dk SLAA,basi tuwaone na sasa wakitumia muda wao kuelezea Wanakusini,kwani wao CCM na Serikali wanaona kuwa Bomba la Gesi ni lazima lije Dar!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!
Embu tuondolee UHARO wako hapa!! Ndio maana nilikuambia awali kwamba kama unahisi "KUNYA",basi nenda Chooni au Jinyee, kuliko kutuletea Uharo wako huku JF!ndio mana nimekua nikiishauri chadema ni vema ingekua na sera itaifanyia nini tanzania na watanzania kuliko kudandia dandia kila jambo,mfano sasa ni bomba la gas mmeshalidandia,serikali ikimalizana na wana mtwara leo ama kesho mtakua na hoja gani?hamjifunzi mlivyolidandia suala la dr ulimboka na alichowafanya baada ya kurudi kutoka kwenye matibabu,mkabaki hama hoja,likaja la mwangosi mkadandia tena,hapo awali mlidandia hoja binafsi ya zitto kabwe huyu mnaemkashifu leo pale alipotishia kumng'oa waziri mkuu wakati mwenzenu alikua anajua ni ngumu kumuondoa waziri mkuu bali alikua anacheza ngoma ya siasa tu,lazima muwe na sera maalum za nini mtakifanya mkipewa ridhaa sio kufanya siasa za matukio
Embu tuondolee UHARO wako hapa!! Ndio maana nilikuambia awali kwamba kama unahisi "KUNYA",basi nenda Chooni au Jinyee, kuliko kutuletea Uharo wako huku JF!
Wewe unawashauri Chadema ukiwa kama nani?? Mbona huo Ushauri wako usiwapelekee,CCM na Serikali ya Dhahifu ambao ndio wanaokusanya Kodi,wanauza Madini yetu,wanauza wanyama wetu wakiwa hai,na Sasa wameuza Gesi yetu kwa Wachina!!
Hizo unazo ziita Hoja,! sijui Ulimboka,mara Mwangosi, mara Hoja ya waziri Mkuu na Zitto,! inaonyesha ni kiasi gani wewe ni Mtupu Kichwani!
Mkuu wenu alishawahi kusema Chadema ni Chama cha Msimu,lakini leo,imekuwa ndicho chama kinachowanyima Usingizi, mmediriki hata kununua vyombo vya habari na Wahandishi Uchwara kwa lengo la kupunguza kasi ya Chadema bila Mafanikio!
Ukisema CDM wanafanya Siasa za Matukio,ni,sawa! Ila nikuulize kwamba, kama Adui yako ukimpiga ngumi sikio la kushoto na ukagundua kwamba hapendi na anahisi Maumivu Makali,yanini uhangaike na kumpiga Miguuni! Si unampiga palepale,kwenye sikio?
Unapigana na "Mjmzito"[CCM] halafu unamwonea Huruma!! Pumbavu, Piga kwenye hiyohiyo Mimba iharibike!!
Mlitaka kumuuwa Dk Ulimboka,Mkamuuwa Mwangosi, kwa hiyo ulitaka CDM, wasitie neno?
Kama tumegunduwa kwamba,tukio litokeapo tukapaza sauti na Watu wakatuelewa kwanini tusifanye hivyo? Na kwanini wewe Uwashwe na CDM?
Kusema kwamba tuwache siasa za Matukio na tuwaambie wana nchi tukipewa Ridhaa tutawafanyia nini,? Huu si wakati wake,subiri hadi wakati tunaomba kura 2015,kwa kuwa tutakuwa na Ilani!
Tunaogopa sasa hivi kusema kwa kuwa,kila tulilo sema kwenye ilani ya Uchaguzi 2010,mmekopi na wakati ule mlikosoa! Mfano:,Elimu ya bure,Kushusha bei ya Vifaa vya Ujenzi,Mchakato wa Katiba Mpya! Nk.
Hatuwezi kuwatafunia huku mkitukosoa,halafu baadae mnarudi Kimya
kimya, kuyafanyia kazi yale mliyokuwa Mnakosowa!
Kajipange Upya na Waliokutuma, na nilishakuambia mwaka huu mambo ya Mtu binafsi[Dk SLAA] na Chadema, hayatakuwa na Mshiko wala Hazitakuwa Habari, Propaganda haina nafasi kwa mwaka huu kama mlivyozoea,Kuwatumia Nape, WASSIRA, Mwigulu MZINZI, na Mamluki wengine wengi!
Watu wanataka kusikia,waliouza na kusafirisha Wanyama wetu wakiwa hai,ni kina nani?
Pembe za ndovu zilizokamatwa China ni
nani alihusika?
Mabilioni yaliyofichwa Uswiss,yamefichwa na nani,?
Na kwanini Gesi isifanyiwe Mchakato wote kule Ilipogunduliwa, na badala yake,inaletwa Dar,kwa Bomba!
Mkiweza kuyatolea Majibu haya yote, basi sasa anzeni kukomaa na CDM,na Watu watawaelewa!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!
Siwezi kwenda makao makuu kwa maelekezo ya punguani!Nenda makao makuu kamuulizie,ukifika kwa secretary ulizia babu utampata.
Tatizo lako hutaki kuelimika.Siwezi kwenda makao makuu kwa maelekezo ya punguani!
Sihitaji elimu ya giza!Tatizo lako hutaki kuelimika.
.
Sihitaji elimu ya giza![/QUOTE]Basi kajifunze hekima za babu.
Babu gani unayemuongelea wewe?Basi kajifunze hekima za babu.
Babu wa Karatu.Babu gani unayemuongelea wewe?
Karatu kuna mababu wengi sana,yupi unayemuongelea wewe?mkuu mbona hujiami,funguka acha utoto!Babu wa Karatu.