Recent content by Kababa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa kesi ya kupinga ubunge wa Lema - Arusha

    Je jaji alisemaje kuhusu hii kesi,au imeahishirishwa mpaka siku nyingine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

    Hivi Hemed ana elimu kiasi gani ?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uchangiaji bungeni

    Mie naona kuwaandikisha wachangiaji alafu wengine wakakosa nafasi ya kuchangia inaweza saidia kuwa msingi wa kurekebisha kanuni ili kwa wakati mwingine wengi au wote waweze kuchangia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi wa chadema na sakata la shibuda

    Mie naunga mkono mtoa hoja kuwa Shibuda asifukuzwe ila apewe adhabu kulingana na taratibu ambazo cdm imejiwekea. Hiyo itakuwa fundisho kwake na wengine.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege vya dar na zanzibar vitangara muda si mrefu

    Safi sana:A S 103:
  6. K

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa Starts this way......!!!!

    Tuwape support kina Boke,waweza kufika mbali.:smile-big:
  7. K

    JamiiForums Tanzania Big Brother Africa Starts this way......!!!!

    Tanzania ina wakilishwa na warembo wawili yani Lotus na Bohke kwenye BBA. Tunawatakia kila la heri kwenye shindano hili.:smile-big:
Back
Top Bottom