Usipanick! Mtumie mamamkwe SMS ya kumwomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwamba ulimkusudia mkeo kitu ambacho ni halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana! Hawa viumbe ni dhaifu from origin of the biblia na kama wameshakutana sio rahisi kuachana isipokuwa wataendeleakubadilisha mbinu tu! Fanya hivi wakutanishe ndugu wa pande zote wawepo wamama na wabibi wamkanye halafu toa onyo LA mwisho pia endelea kuratibu simu zake itasaidia kupunguza...
Yawezekana tatizo sio kufuli labda unachezewa mchezo mida ya kazi usimwamini kiumbe mwanadamu yeyote binafsi yalishawahi kunikuta mbinu iliyokuwa inatumika sikuamini ni story ndefu Fanya uchunguzi tu utabaini tatizo
Kila taifa lina mila na desturi zake ambapo maadili kitu muhimu kufikia malengo ya MTU hasa kielimu rais ameeleweka vizuri sana! Hivyo acha kushabikia utandawazi na wanaharakati tutapotea kama taifa
Rais kamaanisha mwanafunzi wa kike kupata mimba ni kosa lake kwani hajabakwa alihiari mwenyewe kwa tamaa zake na kama amelazimishwa basi sheria zipo wazi kwa mbakaji miaka 30 hivyo tuache kutetea ujinga kisa mwanamke
unajua tatizo letu wanaume wengi linapokuja suala la kuwa na mpenzi /mwanamke huwa tunakimbilia kuangalia sura au umbile zuri ili tuheshimike mtaani.kimantiki hawa viumbe wa aina hii ni wasumbufu sana wakiringia uzuri wao.issue sio uwezo au kumtimizia wahitaji yote.hawa binadamu ni wadhaifu...
Wana maadili ya dini(chrístianity) pía maadili ya jamii, wako committed kwenye kazi zao na wako serious kwenye mambo ya msingi,ni wepesi kutambua tabia ya mtu wamesomea psychology
Kuna uwezekano tatízo lipo kwenye mfumo wa fahamu au mwenendo mzima wa mapigo ya moyo , pressure inakuwa juu wakati wa tendo kunakosababishwa na msisimko.embu muone daktari atakushauri zaidi
Technologia lengo lake ni kumrahisishia binadamu utendaji wa mambo mbalimbali katika maisha yake, hivyo ni jambo la kawaida , mbona wahindi huchumbiana/kuoana kwa picha na ndoa zikadumu? Kikubwa tabia zilandane!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.