Recent content by k2206

  1. k2206

    JamiiForums Tanzania HOJA Chuo cha SUA kina utaratibu mbovu wa kuingia kwenye mfumo unaosimamia taarifa za Wanafunzi

    Kama wanaweza waruhusu mfumo uwawezeshe wanachuo kuungia na kuangalia matokeo popote pale walipo isipokuwa kwa wakufunzi tu. Wakufunzi wasiweze kuingia isipokuwa wakiwa mazingira ya chuoni. Wakiumiza kichwa inwezekana kufanya kazi.
  2. k2206

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    😁😁😁
  3. k2206

    JamiiForums Tanzania Trump kasema mwezi ni mali ya Marekani 🌘

    Wachukue na jua kabisa😁😁😁
  4. k2206

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Ni feature nzuri. Tutaweka protector kama tutashindwa kupata simu zenye hiyo feature.
  5. k2206

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua kuwa Chokochoko dhidi ya Israel kutoka mataifa ya Kiislam ni Quran angalia anachotaka kukianzisha Uturuki

    Mbona Israel mpango wao ni kuvamia maeneo ya nchi jirani ili kujitanua? Unadhani mpaka hapo Ataacha kuwa na maadui? Israel ndiye mwenye chokochoko miaka yote tangu wapewe hilo eneo na umoja wa mataifa. Tena Israel inapaswa kumshukuru sana Mungu kwa kuwa USA inawapa backup vinginevyo wangekuwa...
  6. k2206

    JamiiForums Tanzania Google Pixel imeweka Mfumo wa App lock baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi

    Ilitakiwa kuwepo muda mrefu sana.
  7. k2206

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi imekwama, nawezaje kufanya sherehe kwa bajeti ndogo isiyozidi milioni 5?

    😃😃😃😃😃😃👍👍👍
  8. k2206

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuhandle situation ya mwanamke kununa ndani ya familia

    Maam Hii Kali mkuu. A king is a king.👍
  9. k2206

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuhandle situation ya mwanamke kununa ndani ya familia

    Mpaka aseme. Both team to score😃😃
  10. k2206

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi Tanzania zina mabati marefu?

    Ni kweli kabisa. Kwa kuongezea, kwa wale ambao wanatumia mabati ya kawaida huo mtindo wakati wa mvua maji yote yanatiririka chini kwa haraka hivyo kupunguza
  11. k2206

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Hongera sana kwake
Back
Top Bottom