Dudu baya alikuwepo yeye ndiyo alisimama nyuma ya Katambi. Picha ziko mtandaoni.
Ambao hawakuhudhuria ni wa3 tu. Niffer na magay wawili ndiyo watu pekee waliokaidi.
Sijasifia kaka.
Ila ni moja ya hulka ya vijana wa Tanga kulelewa.
Mikoa ya pwani utakutana na mtu kukesha kwenye kahawa au bila shughuli na usishangae kuona wana maisha mazuri.(nadhani utakuwa umeshihudia)
Nadhani ni utofauti wa tamaduni.
Ni kweli anaweza kuwa na msimamo.
Nimemaanisha kiburi cha kukataa fedha nyepesi. Kama ilivo Mwakinyo naye ni wa Tanga.
Ni manispaa yenye watu waliochangamka kifedha kwahiyo ni rahisi wao kuishi bila dhiki ndogo ndogo. Kule dili za pesa nje nje na hakuna ushindani wa mastaa kama DSM au Dom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.