Recent content by K.Msese

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa ushuru wa Tsh. 382 kwenye gesi asilia ya magari

    Kwanini chanzo kikuu cha mapato ni kuongeza mzigo wa kodi kwa wananchi? Kwanini isiwe kubana bajeti ya matumizi ya Serikali, kuachana na manunuzi ya magari ya anasa. Ishafika hadi STN namba ya gari
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Pia nakubaliana na hili
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Mtoto hashibi kwa maana maziwa ya mama yake hayamtoshi. Chemsha uji mwembamba uchemke kweli yaani kwa muda mrefu. Mpe vijiko vichache anywe, kesho rudi na mrejesho.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwann usiseme tuanze na mkewe kwanza? Kifo ni fumbo. Waliokufa kwa corona ina maana wote walikufa na watu wao wa karibu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwani unawajua walinzi wake wangapi? Ikitokea yupo au wapo waliofariki taarifa hzo utazipataje?
  6. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Polisi wanasheria yao, ukimdunda mtu ni lazma siku 99 zipite bila huyo mtu kudhurika ikiwepo kifo ndiyo mpigaji hatashtakiwa. Lakn ikiwa ndani ya hicho kipindi cha kipigo, lazma mpigaji awekwe ndani ya mikono salama hadi serikali ijiridhishe kuwa umauti wa victim hauna uhusiano wowote na kifo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

    Baada ya M'gul chmb kutembelea kambi yao kabla ya mechi
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuwa mfanyabiashara mkubwa Tanzania bila ndumba au ulinzi wa wataalam inawezekana?

    Yuda walikuwa wawili, Yuda Thade na Yusa Simon (iskariote)
  9. K

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Matumizi ya kodi za wananchi siyo magari ya kifahari kwa wakuu. Bali matumizi yenye tija ili kuboresha maisha ya walipa kodi wenyewe.
  10. K

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Wapi kuna anayesoma bure? iNaonyesha kabisa popote ulipo na nafasi ulionayo umebebwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania 'Magari ya Makonda' yakwama kukarabatiwa, mwenyewe agoma kutoa ushirikiano

    Na kuna shule hazina matundu ya choo na ama wanakaa chini
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Magafuli anaingi madarakani situation kama hii ilitokea, hatua aliyochukua ni pamoja na msako kwa wanaoficha sukari. Yeye anashindwa nn kuchukua hio hatua wakt akisubir hilo la bunge
Back
Top Bottom