Recent content by K A B U R U

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO SGR watu wamechezea network Uwezi Lipia online

    Tumia PC badala ya simu au log out kwanza then log in na kuendelea.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Unarudi lini site kumalizia ujenzi?

    I see a servant quarter....main house loading!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima kufanya somo la General Study kwenye ACSEE?

    Hili ndio somo linalotofautisha elimu na uelewa. Bila hilo somo huwezi kutofautisha mhitimu na msomi wakiwekwa pamoja.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Wakulima ya Nane Nane yanapogeuka kuwa maonyesho ya Wamachinga

    Location ni nchi nzima. Hata bungeni nako pako hivyo hivyo, watunga sheria wamevamiwa na machawa!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Textbook but useful.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

    Wewe ni Dr kweli?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Hakuna anayeshauri wamiliki wa daladala wajiunge waunde Kampuni iombe kazi ya mwendokasi. Iangize basi maalum zinazoendana na njia na vituo vya mwendokasi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mji wa Arusha, kuna foleni sana, mji ni mdogo

    Use by pass, Kwani Jombaa unaelekea wapi?
  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

    Unayajua mahandaki ya Kilosa? Sasa itakuwaje.....!
  10. K

    JamiiForums Tanzania UDSM yaingia mkataba kujenga kituo kikubwa cha biashara zaidi ya Mlimani City

    Mwendokasi ya bongo haijawahi kulipa na haitalipa kamwe. Ndio maana kila anayetaka kuwekeza anatanguliza capacity charge ili kodi yako ndio imlipe faida. Tulijua machungu ya capacity charge ya Richmond kwa Bunge la Standard and Speed, sasa kwa Bunge hili la Chawa sijui kama tutakuja kujua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Naona wamesema August 2025 zinakuja 99. Sio mbaya kama hatua zimeanza kuchukuliwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

    Kwa sababu Mama anaupiga mwingi na Mitano tena!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Serikali mnatumalizia Maboss barabarani!

    SGR ipo lakini behewa zinapigwa jua stesheni ya Pugu, Soga na Ruvu. Sasa sisi tufanyaje? Acha tumalizane barabarani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kero ya ubovu wa barabara kipande cha Mbande Kisewe, Wananchi tunateseka sana kipindi hiki cha mvua

    Mkuu una uhakika huyo ni Mkandarasi au Mdau wa uchaguzi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze ada ya vibali vya kujenga mahoteli kwenye mbuga zetu

    some years back tulikuwa tunalalamika Kenya ina vitanda vingi kuliko TZ ndio maana watalii wanaishia Kenya na kupita tu TZ. Leo tunaongeza vitanda mnalalamika. Yaani huamini TAWIRI inayofanya utafiti wa wanyama ila unakomalia variable yako moja ambayo haijawa tested?
Back
Top Bottom