Recent content by jwhizzy

  1. jwhizzy

    Dark days 17/03/20

    Nini mustakabali wa mwenye NRNE na Chama chake 2025?
  2. jwhizzy

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Dm zangu mbona haujibu.
  3. jwhizzy

    Maeneo mazuri ya kuishi Morogoro

    Mcheki mmoja Instagram anaitwa Dalali mtoto Morogoro. Nyumba zina bei sana Morogoro. Kuanzia 100k kwenda juu ndio vizuri.
  4. jwhizzy

    Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Utapeli hamna, hela unaweka unapata faida 30% kila mwezi. Kila kitu risk tu katika maisha.Mimi nimeweka ninatoa hela vizuri tu. Ikikata nitakuwa nimezipata si haba.
  5. jwhizzy

    Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Wekeza safeland utapata 1,500,000 kila mwezi.
  6. jwhizzy

    Harufu ya utapeli, kuna watu watalia na kusaga meno soon

    Wakuu ilinitokea mimi. Nimepigwa hela dah hata siamini. Wale jamaa matapeli.
  7. jwhizzy

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hivi Ttcl ya dish inakuwa na speed nzuri kama ya fibre au?
  8. jwhizzy

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hio ndio shida,Agiza Dsm tu. Kuna wakati nilitafuta Super Kasi ya voda Mwaka jana, hakuna mtu aliejua. Mpaka Ofisi zao zote. Niliagiza Dar es salaam tu. Hivyo Fanya hivyo.
  9. jwhizzy

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Haipo WhatsApp. Hebu tupe hatua zake kwa watu ambao tupo Tanzania.
  10. jwhizzy

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Weka kwenye simu unga hotspot. Ndio utaenjoy speed
  11. jwhizzy

    Nimeacha kuomba kazi za kozi niliyosoma

    Watafute ucdp_Tanzania. Wanapeleka watu nje sana kam USA, Ujurumani.. utapata experience huko.
  12. jwhizzy

    Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Mkuu Jamaa wapo wapi hao. Tuende tukafanye mpango.
  13. jwhizzy

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Afadhali ila kwenye message nako hakuna tena zile feature za zamani au kuna namna ya kuifuta hii application ya message niweke ya Xiaomi?.
  14. jwhizzy

    Features za kuvutia kwenye simu za Xiaomi

    Je kwa matoleo ya zamani labda feature hizo zitaendelea kuwepo? Google wahuni sana.
Back
Top Bottom