Range Rover v8 p38 field, petrol engine, full-time four wheel, traction control, rangi dhahabu, automatic, ni ya mwaka 2005 bei 25 million anaetaka anitafute whatsup 0786870532
Wapo wanaume wa hivyo lakini sio kwa mantiki ya mwandishi kwamba hez everything sasa kama ni hivyo means anatakiwa kua dr akuzalishe pia anyonyeshe wanao pia yani kila mtu ana nafasi yake kwa wakati wake lakini uwiano kati ya hizo pande mbili ndio unao make sense hasa kwa watu wenye nia ya...
Kujua zaidi kwa mwanaume si kwa mantiki ya mtoa uzi sabu iko wazi na haipingiki kwamba kila binadamu anacho cha kujifunza toka kwa mwengine haijalishi ni kitoga kiasi gani lakini sio mmoja awe mbu mwingine awe damu nah huo ni upuuzi
Jkt ni kitengo kidogo cha jwtz kilicho wekwa kwa ajili ya kufanya shughuli za jeshi za kimaendeleo mafano kilimo, shule, ujenzi so yote ni sehemu ya jesh sabu ata mwamunyange ni mkuu wa majeshi yote so njoo na nyingine tukuweke sawa
Hii nchi imejaa usanii sanii mwingi sana kama u auzoefu na ofisi za serikali utanielewa vizuri yani watu wameshindwa kufanya kazi za kuleta maendeleo instead imebaki kupiga dili ndani ya ofisi hizo wakitumia ofisi za serikali kama fixed asset ili kufanikisha malengo yao ya kupata pesa za kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.