Huyu ndie anayesubiriwa na watz , Hana tuhuma hata moja ya ufisadi , pinda ni mkali na Mtu wa misimo ya kujenga uchumi wa wanyonge na fursa za uwekezaji. Wasio waadilifu ndio wanamchafua kiukweli hawataweza.
Ndie waziri mkuu aliyefukuzwa kwa ufisadi katika historia ya tanzania pia. Kwa hiyo sio uchapakazi tuu bali pia alikuwa mwizi wa fedha za umma. Nchi hii bwana ukiiba halafu uwe na fedha nyingi eti unaheahimika, mpaka tutakapoelewa kuwa fedha zinazotolewa makanisani,misikitini,na michango ya...
Hujishughulisha na ujangili wa ndovu, kupitia kampuni yake ya utalii ambao ilikuwa hailipi kodi hifadhini. Mfanyabiashara mkubwa wa mengine lakini for nyara za seriklali.
Huyu naibu waziri wa maliasili anahusika na ujangili toka siku nyingi inakuwaje tena leo ni mtetezi wa tembo? Haiwezekani akawa jangili wa tembi baadaye akageuka kuwa mzuiaji wa kuua tembo na faru, alikuwa na kampuni ya uwindaji na utalii ambao ilikuwa inanunua meno ya tembo kwa kificho. Bahati...
Kuna wizara moja tu ambao nashauri ,kama aliyekuwepo amefukuzwa basi naibu wake aliyepo hafai kuwa waziri maana alishatajwa kujihusisha na ujangili wa meno ya tembo, ninamwona ktk vyombo vya habari siku hizi akijipambanua kama mpambanaji na ujangili ,ukweli ni kuwa naibu waziri huyu anasemekna...
Kwa jinsi watz walielimika sasa wataamua kwa wakati na maamuzi sahihi. Tuwaachie wao, so long mgombea binafsi yupo, vyama vingi vipo, watachagua anayewafaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.